Nijue, ishi na mimi: Ahadi namba 5 ya Mwanachama wa CCM

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,890
939

NIJUE, ISHI NA MIMI: AHADI NAMBA 5 YA MWANACHAMA WA CCM.



NIJUE, ISHI NA MIMI: AHADI NAMBA 5 YA MWANACHAMA WA CCM

"Cheo ni dhamana, sitatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu."

Ahadi namba 5 inasisitiza kuwa uongozi ni utumishi kwa wananchi na sio manufaa kwa mtu binafsi hivyo hatutakiwi kutumia vibaya au kumshawishi kiongozi aitumie vibaya dhamana hiyo.

#KaziIendelee
#TunaImaniNaSamia

IMG-20210728-WA0005.jpg
 
Sasa mbona viongozi wote wa ccm wanatumia vyeo vyao kwa faida yao? Huwa hawasomi hizo ahadi! Au wameamua tu kuwa wakaidi?
 
Bongo uongozi ni manufaa kwa kiongozi yeye binafsi na watu wake wa karibu.

Ndiyo maana mtu akipata teuzi watu wanasema ameula.
 
Back
Top Bottom