Nijuavyo ukoloni Wakoloni watatumia sikio kuivaa serkali ya Tanzania

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,163
787
Sisi wanataaluma, wataalamu wa siasa za nje, katika uchambuzi tunaona njia wazungu watayotumia kuvaa serkali za mataifa mbalimbali.

Serikali ya awamu hii si sawa na zote zilizopita. Kitaalamu kila serkali Ina tabia yake...na anayefanya nchi iwe na tabia flani ni kiongozi mkuu wa nchi- Raisi

Wazungu wanaakili Sana, Sababu inayowafanya kuwa hivyo ni kwamba hawana unafiki na kamwe hawana tabia za malimbuleni kama walivyo waafrika.

Wazungu sio wote siku zote wanajua hitaji la msingi la mataifa yao. Hawakurupuki. Tanzania in nchi nzur sana bahati mbaya kwa Tanzania tena Leo hii ni kwamba wakoloni ie wazungu wanajua watatekeleza ukolon wao nchini kwa njia rahisi tu.

China Kama mfano wa nchi ambayo misingi yake ilikomazwa Na wazalendo tunaona inavyofanyakazi Leo.

Bila Kuathiri Sheria za kimataifa Tanzania ingeweza kufanyakitu.

Baada ya kupambana na sekta za kujenga uchumi kuimarisha mifumo ya kodi hakukuwa Na haja ya kuonyesha dhahiri unyonyaji kwa wafanyakazi na wote katika selta za umma. huwezi kujenga uchumi bila imani kwa unaowatumia kuijenga. Badala yake inakua ni ukoloni Na kwa kuwa wakolon bado wanaishi watatumia mianya hii kurejea.

Sikio la kufa....malizia MWENYEWE. wakoloni wanatunyanyasa bado. Bado kama hujafanya watakavyo lazima wakuwekee vikwazo ni rahisi Sana....tufanye yetu wasituwekee vikwazo lakini kwa hali hii ambayo haina picha yyt katika kuipaisha nchi lazima watumie sikio la kufa kuivamia nchi.

Tuwe makini Sana Na siasa zetu
 
Back
Top Bottom