Nijifunze php au node js na express?

Kajaribu kugoogle nakujua dart ni nini then utanishukuru baadaye

zingatia kutambua sifa za lugha kwa kufuata wewe unataka nini itakusaidia kujua nini ukitumie
usiangalie wigo wa ajira angalia wewe unataka ufanye nini na ni kipi sahihi kwako na rahisi zaidi
 
Wewe unajiajiri! au una maanisha wanaodevelop new system ili waziingize sokoni. Kama ni kusolve problems za watu si inabidi ujue mahitaji ya watu.
Kwenye physics research nilifundishwa kwamba unatakiwa uchunguze matatizo yanayowakumba watu ndio uanzishe researvh ya kitu sio matatizo yanahokukabili wewe binafsi. Watu ndio waajiri wetu.
 
yeah nikweli kaka ndio maana nikaongea pia aaangalie nayeye pia kwanza nini anaona ndio kimemkaa au nini anataka kufanya. pia ukizingatia sana kuwa kwa ulimwengu wasasa kutakuwa na kazi nyingi kwa watu binafsi kuliko kusolve za zamani sababu yakukua kwa teknolojia mpya
pia ukiangalia google unaweza ona project kubwa sana zilizofanyika kwa hasa lugha zilizokuja kwasasa maana zimerahisisha mambo kadhaa kiutendaji nk
pia mimi napenda sana kushauri mtu aangalie kitu anachoweza kujiajili yeye binafsi kuliko kutegemea ajira na hizi mambo unachukua muda mrefu kukomaa nazo then kuja kubadirika inakuwa ni upotevu wa muda tuu
 
Language zote zipo powerful but kwa bongo uki develop system, web app kwa nodejs itakua ni ngumu kufanya maintenance ndogo ndogo kwa watu unao wauzia system hivyo huotopata soko but kama unafanya php soko ni kubwa
 
mimi nadhani ungeanza na php ukaisoma vizuri ukisha master hiyo language vizuri sasa hapo itakua rahisi kwako kusoma programing language nyengine kwani utofauti wa programming language mara nying huja kwenye syntax to lakin logic na algorithim hufanana hivyo ningekushauri usome php kiundani kisha unaweza kusoma hiyo node js na language nyegine kuhusiana na soko la Tanzania hua halieleweki inategemea na mteja wako anahitaji kitu gani kwa wakati huo mfano mimi nilipata kazi yakudevelop system ya web page wakasema lazima nitume .net hivyo kama mteja ametaka hivyo nilazima ufuate matakwa yake kuhusu suala la security sidhani kama litakua na mashiko sana kwenye hizo programming lanuage kwani hakuna language ambayo mtu hawezi kudukua ndio mana watu hufanya pentaste baada yakumaliza projects kuangalia loop holes nakuendelea kuifanyia kazi update ya system husika inashauriwa tuwe tunafanya update ya mifumo yetu kwa lengo kuu la security improvement na bugs fix ili kuimarisha program zetu dhidi ya hackers
 
nikweli mkuu
mimi niliweza kujitoa mapema sana katika mfumo huo,
nikaangalia kusoma nijiajili sio niajiliwe,
na leo hii ulimwengu unabadirika kwa kasi kubwa sana maana google wameukamata ulimwengu wa teknolojia kwa hali ya juu sana,
leo huu mambo yakufanya kwa language 5 unaweza fanya kwa language moja ambayo haipo chuo bali ipo mtandaoni tu.
hivyo inategemea pia umeelewa vipi hiyo physics na unawezaje kujiajili nayo.
mimi huwa napenda sana kuawaza kwa kuangalia namna gani naweza kujiweka kuwa bidhaa adimu ili niwe na thamani kubwa zaidi kila kuchwao,
ila huwa siangalii kitu gani kipo sonokoni au kitu gani kinauzika siku zote nawwaza mimi kuwa bidhaa yenye thamani na niuzike mwenyewe.
nashukuru leo hii naweza kufanya makubwa ambayo hata huko chuo ningeenda sidhani kama ningeweza kuyapata.

never limit yours....................
Hio language unayoweza kufanya yote si ndio demand ya soko mkuu? Unawrza doma lugha kama Cobol today? Just imagine paskal haiitajiki sokoni sasa wewe kwa nini uikazanie.
Soko ni muhomi sana.
Hata kwenye software development lazima uangalie uhitaji, huwezi umda software tu kisa unaipenda halafu watu wasiitumie.
 
angalia mifumo ya sasa inayotumika zaidi ni languagew ambazo ni popular toka zamani sana
lakini hao google language yao haipo katika mtaala wowote wa elimu wala hakuna chuo unaenda kusoma na ukiangalia sokoni hukuti watu wanaotumia kwamba kuna siku unaweza itwa hata katika interviewer,
ndio maana nikasema tunategemeana katika malengo kuna mwingine anataka kuajiliwa na kuna mwingine anataka yeye binafsi ndio awe bidhaa.
tofautisha anayesomea kupata cheti akaajiliwe na yule ambaye anatafuta ujuzi kwa manufaa yake zaidi kusimama yeye kama yeye.
sasa unapotaka kuja kuunda software kama hapo unapozungumza mwisho ni kwamba haijarishi ni lugha gani umeitumia watu wanakuja kuangalia ile product yako ina ubora gani hakuna atakayesema umetumia language gani nk
sasa huko ndiko ninakolenga mimi lazima ujiangalie wewe kwanza unataka kuwa nani mwajiliwa ama ujiajiri mwenyewe? itakupa urahisi zaidi wakuamua language ipi uitumie nk
 
nikweli mkuu
mimi niliweza kujitoa mapema sana katika mfumo huo,
nikaangalia kusoma nijiajili sio niajiliwe,
na leo hii ulimwengu unabadirika kwa kasi kubwa sana maana google wameukamata ulimwengu wa teknolojia kwa hali ya juu sana,
leo huu mambo yakufanya kwa language 5 unaweza fanya kwa language moja ambayo haipo chuo bali ipo mtandaoni tu.
hivyo inategemea pia umeelewa vipi hiyo physics na unawezaje kujiajili nayo.
mimi huwa napenda sana kuawaza kwa kuangalia namna gani naweza kujiweka kuwa bidhaa adimu ili niwe na thamani kubwa zaidi kila kuchwao,
ila huwa siangalii kitu gani kipo sonokoni au kitu gani kinauzika siku zote nawwaza mimi kuwa bidhaa yenye thamani na niuzike mwenyewe.
nashukuru leo hii naweza kufanya makubwa ambayo hata huko chuo ningeenda sidhani kama ningeweza kuyapata.

never limit yours....................
Imagine umemasta vizuri quantum physics su atomic/nuclear physics hapa bongo, utajiajiri vipi kwa hio knowledge?
Ulaya Asia,USA wana develop quantum computer, quantum internet, quantum engine, quantum satelite nk. hizo ni research centre tena uwe na Phd au very geneus.
Unaweza anzisha tafiti za kuunda quantum electronic chip hapa bongo ?
Uko mtaani labda ukawe fundi umeme wa majumba.
Cha ajabu ni kwamba curriculum ya physics TZ haina applied physics ni theoretical physics tu.
Just imagine unasoma physics(non major) ila husomi microcontroller,,processor nk
Sasa wewe utadizaini nini kwa ulimwengu huu wa teknolojia ya digital.
Non physics major hawasomi computer programming mpaka ufanye option huku una unit 30+
Mkuu there is big knowledge gap ktk mitaala ambayo kuiziba ufanye kazi ya ziada.
Sijajua wanaofanya engineering wanakuwa competent kiasi gani, ila natural science ni majanga labda ushifti to another career.
Ulaya wenzetu wameanzisha kitu kinaitwa engineering physics, yani mtu anakuwa hana tofauti na engineer sie bado tupo na mtaala wa mkoloni mpaka usome post graduate ndio uwe injinia, huu ni upotezaji wa muda.
 
anayway kaajiliwe mzee baba
 
Mkuu nakusma vyema sana, kwa sasa teknoljia imebadilika sana, kwenye field ya prgramming kuna namna nyingi sana za kujiajiri.
ukiajiriwa mshahara wako ni constant, kwenye kujiajiri kuna matokeo bora zaidi.

Pia nimependa uliposema mtu afanye anachipenda zaidi, i mean hii ni nzuri cause utakuwa specialized.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom