Niishi vipi na mwanaume aliyetoka kuachana na mkewe?

shetrish

Member
Nov 15, 2017
63
96
Hello wana JF,

Imetokea kumpenda na kuwa na mahusiano na mwanaume aliyekwisha oa huko nyuma ila walishaachana na mke wake, ningependa kujua unaweza deal naye vipi?

Maana naona kama wanakuwa na moods sana za on and off na pia kama hayupo tayari kuingia mazima kwenye commitment, kwa mliopo humu mlioolewa au ambao mko na mahusiano na divorced man naombeni mawazo yenu,

Au pia kama kuna wanaume mliodivorce humu mnaweza share experince ya nini mnategemea kutoka kwa new spouses, mnataka ,muwe treated vp?
 
Hello wana jf, nimetokea kumpenda na kuwa na mahusiano na mwanaume aliyekwisha oa huko nyuma ila walishaachana na mke wake, ningependa kujua unaweza deal naye vp maana naona kama wanakuwa na moods sana za on and off na pia kama hayupo tayari kuingia mazima kwenye commitment, kwa mliopo humu mlioolewa au ambao mko na mahusiano na divorced man naombeni mawazo yenu,

Ni huyohuyo tu, sisi wengine hatuna bad moods
 
Cheki na lemutuz ndio babu sugu humu kadivorce toka mkapa rais hadi leo yupo downtwn
 
Yaani ni pasua kichwa Hao.ujue nini ynakuwa na hamu ya ndoa mwenzako Ametoka hataki hata kuisikia tena Sema papuchi yako anaitaka.yaani utateseka hatare.bora alofiwa na mke.at least yeye ndoa alikuwa anaitaka Sema tu mapenzi ya Mungu' huyu unaweza muenjoy kidogo
Wanaume divorced halafu awe broke hata umpende vipi hailipi.used used tu yaani
 
Inategemea na aina ya divorce na ilikuaje yeye ameumiza au ameumizwa, alitoa talaka kwa hiari au kwa lazima, aliacha akiwa anapenda au vipi

Kama aliachwa basi jiandae kudeal na kisirani chake, kama aliumizwa basi jitahidi usiwe sababu ya kumkumbushia machungu ya alikotoka na pia usimpe sababu ya kuona wanawake wote sawa,

Ikiwa ametoka kwenye ndoa ambayo mke ndo likua kivuruge basi kwa asilimia 💯 kuna vitu amevikosa na amevimiss, treat him well, mdekeze kama mtoto trust me utaenjoy sana 😋😋
 
Hello wana jf, nimetokea kumpenda na kuwa na mahusiano na mwanaume aliyekwisha oa huko nyuma ila walishaachana na mke wake, ningependa kujua unaweza deal naye vp maana naona kama wanakuwa na moods sana za on and off na pia kama hayupo tayari kuingia mazima kwenye commitment, kwa mliopo humu mlioolewa au ambao mko na mahusiano na divorced man naombeni mawazo yenu,

Au pia kama kuna wanaume mliodivorce humu mnaweza share experince ya nini mnategemea kutoka kwa new spouses, mnataka ,muwe treated vp?

I divorced miaka 5 iliyopita, ilinichukua muda sana kujirudi na kukubali kuanzisha mahusiano ila nilipopona, nikaingia mazima. Mpaka sasa ninao wake wawili na bado natarajia kuongeza wengine.

It is a process, depending on how the relationship ended and what caused it, some divorce are just too traumatising. Give him time.
 
Ahsantee 🖐️
 
Kajaribu bahati yako unaweza ukaolewa. Una miaka mingapi kwanza? Hatuoi wenye watoto sisi
 
Yaani ni pasua kichwa Hao.ujue nini ynakuwa na hamu ya ndoa mwenzako Ametoka hataki hata kuisikia tena Sema papuchi yako anaitaka.yaani utateseka hatare.bora alofiwa na mke.at least yeye ndoa alikuwa anaitaka Sema tu mapenzi ya Mungu' huyu unaweza muenjoy kidogo
Wanaume divorced halafu awe broke hata umpende vipi hailipi.used used tu yaani
Mweh!!
 
Inategemea na aina ya divorce na ilikuaje yeye ameumiza au ameumizwa, alitoa talaka kwa hiari au kwa lazima, aliacha akiwa anapenda au vipi

Kama aliachwa basi jiandae kudeal na kisirani chake, kama aliumizwa basi jitahidi usiwe sababu ya kumkumbushia machungu ya alikotoka na pia usimpe sababu ya kuona wanawake wote sawa,

Ikiwa ametoka kwenye ndoa ambayo mke ndo likua kivuruge basi kwa asilimia kuna vitu amevikosa na amevimiss, treat him well, mdekeze kama mtoto trust me utaenjoy sana

Asante, ni kweli mahusano yake yaliyopita alikuwa na mke mtata, ia waliachana kwa makubaliano so haikuwa ngumu kukamilisha taratibu zote za kanisa na kisheria, ila nachoona ni kama bado ana uwoga wa kuzama mazima kwa mahusiano mapya ilihali ni zaidi ya miaka mi4 tanu waachane,

Dawa ni kumtreat well eee nadhani na kuwa patient labda, ntajitahidi maana nshampenda
 
I divorced miaka 5 iliyopita, ilinichukua muda sana kujirudi na kukubali kuanzisha mahusiano ila nilipopona, nikaingia mazima. Mpaka sasa ninao wake wawili na bado natarajia kuongeza wengine.

It is a process, depending on how the relationship ended and what caused it, some divorce are just too traumatising. Give him time.

Thanks mkuu na hongera kwa kuheal na kumove on
 
Kuwa mvumilivu na Subra umpe muda vile inshallah kila kitu kitakwenda salama...
 
Hello wana jf, nimetokea kumpenda na kuwa na mahusiano na mwanaume aliyekwisha oa huko nyuma ila walishaachana na mke wake, ningependa kujua unaweza deal naye vp maana naona kama wanakuwa na moods sana za on and off na pia kama hayupo tayari kuingia mazima kwenye commitment, kwa mliopo humu mlioolewa au ambao mko na mahusiano na divorced man naombeni mawazo yenu,

Au pia kama kuna wanaume mliodivorce humu mnaweza share experince ya nini mnategemea kutoka kwa new spouses, mnataka ,muwe treated vp?
Swali zuri kila la kheri, muhimu mpe sex ya kibabe mleweshe sex mpe mupe muwezee, mfanye kichwa chako, unyenyekevu na utii.
Uwe na true love na uwe real.

Angalia je hana matamanio ya kurudiana na hakuna wanandugu wanaotaka arejee ndoa ya zamani?
 
Back
Top Bottom