Niijuavyo Freemasonry

Hamjawahi kuwa wakweli nyinyi Chama cha Shetani nani atasikiliza porojo zako hizi wakati tayari mnajiita jamii ya siri

Walianza wakina Hassan wa Yahya Hussein kuwapamba pamba hawa jamaa hakuna aliyewasikiliza

Endi Chande nae alikuwa anapakapaka rangi weee eti ili watu wawachukulie poa...
Lakini wapi!
Mkuu tunaposema Freemason ni Secret Society hatumaanishi ni Jamii ya Siri; tunamaanisha ni Jamii Yenye Siri. Ndiyo maana jamii inafahamika na hata baadhi ya members wake wanafahamika, lakini yanayofanyika ndani ya hii jamii ndiyo hayafahamiki kwa wasio wanachama zaidi ya speculations na propaganda tu za watu wanaofikiri wanaijua sana Freemason
 
Back
Top Bottom