Nii Rahisi Mwanaume mlevi kuwa mwaminifu kuliko mwanamke mlevi!??!! Kwenu wana Jf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nii Rahisi Mwanaume mlevi kuwa mwaminifu kuliko mwanamke mlevi!??!! Kwenu wana Jf

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, May 10, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,654
  Trophy Points: 280
  Kama kuna kitu cha kukwambia tukiendele kuazimisha sikukukuu ya wamama dunian ni kama una mke anakunywa pombe mbaya kwa kweli imekula kwako......najua unaweza ongea mengi lakini nawaasa kabisa hili hasa mnaaokimbilia ndoa kama mwanamke anakunywa pombe mbaya kwa kweli kimbia...na kama mwanaume nae mlevi chapombe mbaya kimbia itakula kwako nakwambia

  Nilikuwa nasoma mada moja leo ikisema wanaume ni rahisi kuwa waaminifu wanapokunywa kuliko mwamnamke mlevi..wanwake wanashindwa wengi kijilinda pale pombe inapoanza kuelekea chini na hivyio kujikuta wakifanya miujiza

  si mbaya kusema hivi ingawa alijaribu kutoa mawazo yake nikaona kabla ya kuleta mawazo yangu niwakaribishe ma bibi na mabwana wa JF.....mtoe yaliyomo mioyoni mwenu na kama ni mmoja wa wahusika wanaoteseka na hili utuambie unawezaje kumsaidia anaetarajia kuoa chapombe na jinsi gani ya kukaa nae asifanye vituko ama kuacha pombe kabisaaaa......


  Kwenu Wana Jf
   
 2. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  When we drink, we get drunk. When we get drunk, we fall asleep. When we fall asleep, we commit no sin. When we commit no sin, we go to heaven. Soooo, let's all get drunk and go to heaven!!!":israel::israel::israel:
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Inategemea,lakini uwezekano wa mwanamama kupotea akiwa mnywaji ni mkubwa.
   
 4. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Nimekunywa pombe miaka mingi ila sikuwahi kufanya kitu ambacho sijakimaanisha, wengi wanakimbilia kujifanya ni pombe wakati ni wao wenyewe ndio tabia zao. Pombe ni njia tu ya kujustify mambo mabaya mtu aliyopanga kufanya hata kabla hajanywa. kuna wale wanaozidisha mpaka hawajitambui, hawa sio walevi ni wagonjwa wanatakiwa kutibiwa kwenye ma rehab huko dodoma.
   
 5. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  Wapo ambao katika maisha yao hawajawahi kunywa
  kabisa lakini sio waaminifu hata chembe
  kunywa/kutokunywa hakuhusiani na uaminifu
  kuwa mwaminifu/kutokuwa mwaminifu ni tabia ya mtu

   
 6. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,231
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni tabia tu ya baadhi ya watu...
   
 7. Mulama

  Mulama JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 2,458
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Hapa nilijua kutakuwa na mvutano mkubwa kwakkuwa kwa watu wengine umepiga pentagon yao!! JAMANI EE ULEVI NOMAAA! si mnasikia matangazo (jingles) redioni siku hizi?
   
 8. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ni tabia tu ya mtu na sio pombe wala nini
   
 9. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,231
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Mulama umeweka maada hapa...watu wanachangia kutokana na uelewa wao sasa seem una upande unaoshabikia,tengeneza basi format ambayo utaweka option ya ku support wazo lako ili kuokoa muda na wakati! Nina mifano mingi ya watu wanywaji sana wenye moderate character vs wasiokunywa na waliokubuhu kwenye mchezo pendwa! Thus all!
   
 10. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Naunga hoja! Mwanamke ni mwepesi mara anywapo pombe! Na ndiyo unasikia wanaume wanasema,NI MAHARAGE YA MBEYA,maji moja tu tayari! Ujuwe huyo ni malaya Fluu!!
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  May 11, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  mlevi na mnywaji ni tofauti.mwanamke mlevi ni rahisi sana to be taken advantage of.kuna mwanamke analewa hadi anazimika na yuko na kampani ambayo inamtolea macho siku nyingi (hasa kama mpenda ofa anataka akomeshee,na hawa hubakwa na wanamezea kwa ajili ya aibu.lakini inategemea na elegance ya mwanamke banaa,pamoja na usawa tunaotafuta,ni dalili ya frustration for an elegant lady kulewaaa kama komba!sasa kama una-date frustration u ar in for it.
   
 12. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #12
  May 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,654
  Trophy Points: 280
  mulama yale matangazo nimewaandikia barua ya kibaguzi
  yanaonyesha mlevi mwanamume pekee mwenye vituko mwanaume pekee kama lile la jamaa alikuwa kweny harusi akarudi na mzigo home akamwambia mkewe wewe dada uko ndan embu niletee fungo chumba na 13 astakafulillah gafla mkewe akamwasha makofi...nahisi wakileta ya mabinti itakuwa aibu
   
 13. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #13
  May 11, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  labda madaktari watujuze effect ya alcohol (intoxication) kwenye rational judgments. nadhani kuna impairement kwenye reasoning pale mtu alewapo. na hili linaweza sababisha mtu kufanya kile ambacho ktk hali ya kawaida asingekifanya. all and all ulevi noma!
   
 14. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #14
  May 11, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  All in all pombe ni mbaya on both sides, ingawa inaweza kuwa mbaya zaidi kwa wakina mama. Wapo wanaume wanaokunywa pombe na wakirudi usiku manane wanafunguliwa milango na Ma Hgirl, wanaishia kuwabaka! wapo wanawake wanaokunywa pombe na kufanya mambo ya ajabu na jamaa wanapata bure! ebo, KUNA MWANAUME asiyependa mwanamke wa bure (kaka zangu, tehe tehe tehe, Good Morning). Haya yote ni madhara ya pombe. Jamani pombe tunywe kiasi, viwanda kila siku vinajengwa na hatuwezi kuimaliza. Angalia wakina baba waliofundisha wake zao pombe, leo wako wapi? wamebaki na labda na hawana jinsi ya ku reverse the trend......... Hebu tujiulize: nI WATU WANGAPI WALIOKUNYWA POMBE WAKAPATA MATATIZO AMBAYO HADI LEO WANAJUTIA (Ajali, ugomvi, broken families, kubaka, kutembea na partners wakiwa bare (yango na yango)!!!!!!.ULEVI NOMA.
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  May 11, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama ni issue ya kidaktari,nadhani ni ki-sociology zaidi. alcohol impairs rational judgements kwa wote. Lakini mwanamke akilewa anakuwa vulnerable zaidi kwa nature ya maisha yetu (afu mwanaume akibakwa na mwanamke si inakuwa sifa,eti? ama na nyie mnashtakigi?)
   
Loading...