Hivi kurisit mtihani ni lazima urisit masomo yote 2017/18

Wakuuu habar zenu,

Ninaomba ushaur wenu
Hapa Nina kijana wangu aliingia chuo kutoka form four, akamaliza diploma yake ya ufundi sanifu katika chuo cha serikal sasa kwa bahati mbay hakufikia G. P. A ya 3.0 inayoitajika na mh. Ndugu Ndalichako

Je kutokana na mfumo huu mpya wa admissions na qualifications walizotoa, je, anaweza kupata chuo aendelee na programs za degree?? Au la afanyaje msaada plse

IMG-20170524-WA0015.jpg
 
ahaaaaaaa :D:D:D:D:D:D:D wap ndugu masiya ukuje uku huone watu na matokeo chanya na bado mtashuhudia mengi bado heslb nao wahajatingisha kiberiti.....
 
Ila kwa nini alikua hasomi...... Angejitambua kwamba chuo ni sehemu ya kupitia asingekusumbua wewe kuja huku vijana BUANA BUANA
 
Wakuuu habar zenu,
Ninaomba ushaur wenu
APA Nina kijana wangu aliingia chuo kutoka form four, akamaliza diploma yake ya ufundi sanifu katika chuo cha serikal sasa kwa bahati mbay hakufikia G. P. A ya 3.0 inayoitajika na mh. Ndugu ndalichako
Je kutokana na mfumo huu mpya wa admissions na qualifications walizotoa, je, anaweza kupata chuo aendelee na programs za degree?? Au LA afanyaje msaada plseView attachment 513952
It's 2.9 instead of 3.0 at water institute ubungo
 
Unareseat yale uliyofeli tu. Lakin ni vema ungepost kwenye jukwaa la elimu. Sor kama ntakua nimekukwaza.
 
Ni vizuri ukarist masomo zaidi ya moja kama vile 3,4 na kuendelea Ili uwe na chance kubwa ya kupata credit.kurist hawakulazimish hata somo moja unaweza lisiti.
 
Ni vizuri ukarist masomo zaidi ya moja kama vile 3,4 na kuendelea Ili uwe na chance kubwa ya kupata credit.kurist hawakulazimish hata somo moja unaweza lisiti.
Thanks kwani kuna MTU alinambia lazima urisit kuanzia 7 mwaka huu ndo mana nikauliza
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom