Niger’s President Wins World’s Biggest Cash Prize for Leadership

Rais wa Niger Mahamadou Issoufou ameshinda tuzo maarufu ya Mo Ibrahim.

Tuzo hiyo utolewa kwa kiongozi ambaye utawala wake unazingatia utawala wa sheria na utawala bora barani Afrika.

-----

Niger’s President Mahamadou Issoufou, who’s due to step down next month after serving two terms, was named the 2020 winner of the world’s largest leadership prize -- a $5 million award made by Sudanese billionaire Mo Ibrahim’s foundation.

Issoufou is the sixth winner of the Ibrahim Prize for Achievement in African Leadership since it was introduced in 2006 to promote good governance in the world’s poorest continent. Previous recipients include former presidents Joaquim Chissano of Mozambique, Festus Mogae of Botswana and Ellen Johnson Sirleaf of Liberia.

“In the face of the most severe political and economic issues, including violent extremism and increasing desertification,” President Mahamadou Issoufou has led his people on a path of progress,” Mogae, who chairs the Mo Ibrahim Foundation’s prize committee, said in a statement on Monday. “Today, the number of Nigeriens living below the poverty line has fallen to 40%, from 48% a decade ago.”

I consider this award an encouragement to continue to think and act in such a way that promotes democratic values and good governance, not only in #Niger, but in Africa and around the world. #MIFPrize

— Issoufou Mahamadou (@IssoufouMhm) March 8, 2021
Issoufou, 69, first took office in 2011 after years of political instability in the West African nation, including four coups since independence from France in 1960, and won re-election in 2016.

He’s set to be succeeded by his close ally Mohamed Bazoum, 61, a former interior and foreign minister, who won a run-off vote against ex-president Mahamane Ousmane on Feb. 21. The election paved the way for Niger’s first transfer of power by the ballot box.

The vote was followed by widespread protests and Internet shutdowns. Opposition leader Hama Amadou, who was barred from running and backed Ousmane in the run-off, was arrested and charged with trying to overthrow the government.

Niger, the world’s fifth-biggest uranium exporter, ranks as the world’s least-developed country among 189 in the United Nations’ Human Development Index.

Ibrahim started Celtel International BV. in 1998 and built it up to be Africa’s third-largest mobile phone company. Kuwaiti mobile-phone operator Zain bought 85% of Celtel for $3.4 billion in 2005.

Source: Niger’s President Wins World’s Biggest Cash Prize for Leadership

Mh. Magufuli huwa kuna zawadi huku.

Kwa tathmini yako wewe mwenyewe na hata na washirika wako, kwa dhati yenu ya moyoni tu, mnadhani mnafuzu hata kufikiriwa kwenye zawadi hii achilia mbali kushinda?

Mengine tuwe tunakuwa wakweli kwa sisi wenyewe.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Mh. Magufuli huwa kuna zawadi huku.

Kwa tathmini yako wewe mwenyewe na hata na washirika wako, kwa dhati yenu ya moyoni tu, mnadhani mnafuzu hata kufikiriwa kwenye zawadi hii achilia mbali kushinda?

Mengine tuwe tunakuwa wakweli kwa sisi wenyewe.

Au nasema uongo ndugu zangu?
Kweeeeeeriiiiii hizo tuzo ni za mabeberu tu
 
Niger ni wapi tena jamanii!??? Kaanchi kenyewe hakafikii ukubwa wa Wilaya ya Kyela hata ingegawanywa mara kumi!???
 
Mnaosema Magufuli hawakumwona, ni kuwa sifa ya kujadiliwa kuwa mshindi wa tuzo hii ni hadi ustaafu Urais. Hivyo ni tuzo ya Marais wastaafu barani Africa. Hapa wanakamati wa tuzo hujadili miaka yote ya Rais ktk kipindi chote cha enzi zake akiwa Ikulu ikiwa ni pamoja na mabaya na mazuri yake. Baada ya hapo hupewa alama na alama za mazuri yakiwa mengi hutuzwa tuzo hii.
 
Kaangalie vizuri ramani ya Africa. Nadhani inakaribia kulingana na Tanzania


Kwa sasa Tanzania ndiyo nchi kubwa kuliko zote Barani Afrika, na bila shaka worldwide --- hii ni mojawapo ya mafanikio makubwa kabisa ya serikali ya awamu ya tano. Waliosema hatuwezi kufanya ^key-two^ sasa wanahaha matumbo joto.
 
Kwa sasa Tanzania ndiyo nchi kubwa kuliko zote Barani Afrika, na bila shaka worldwide --- hii ni mojawapo ya mafanikio makubwa kabisa ya serikali ya awamu ya tano. Waliosema hatuwezi kufanya ^key-two^ sasa wanahaha matumbo joto.

umenena vema
 
Back
Top Bottom