Niger’s President Wins World’s Biggest Cash Prize for Leadership

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Rais wa Niger Mahamadou Issoufou ameshinda tuzo maarufu ya Mo Ibrahim.

Tuzo hiyo utolewa kwa kiongozi ambaye utawala wake unazingatia utawala wa sheria na utawala bora barani Afrika.

-----
Niger.jpg

Niger’s President Mahamadou Issoufou, who’s due to step down next month after serving two terms, was named the 2020 winner of the world’s largest leadership prize -- a $5 million award made by Sudanese billionaire Mo Ibrahim’s foundation.

Issoufou is the sixth winner of the Ibrahim Prize for Achievement in African Leadership since it was introduced in 2006 to promote good governance in the world’s poorest continent. Previous recipients include former presidents Joaquim Chissano of Mozambique, Festus Mogae of Botswana and Ellen Johnson Sirleaf of Liberia.

“In the face of the most severe political and economic issues, including violent extremism and increasing desertification,” President Mahamadou Issoufou has led his people on a path of progress,” Mogae, who chairs the Mo Ibrahim Foundation’s prize committee, said in a statement on Monday. “Today, the number of Nigeriens living below the poverty line has fallen to 40%, from 48% a decade ago.”

I consider this award an encouragement to continue to think and act in such a way that promotes democratic values and good governance, not only in #Niger, but in Africa and around the world. #MIFPrize

— Issoufou Mahamadou (@IssoufouMhm) March 8, 2021
Issoufou, 69, first took office in 2011 after years of political instability in the West African nation, including four coups since independence from France in 1960, and won re-election in 2016.

He’s set to be succeeded by his close ally Mohamed Bazoum, 61, a former interior and foreign minister, who won a run-off vote against ex-president Mahamane Ousmane on Feb. 21. The election paved the way for Niger’s first transfer of power by the ballot box.

The vote was followed by widespread protests and Internet shutdowns. Opposition leader Hama Amadou, who was barred from running and backed Ousmane in the run-off, was arrested and charged with trying to overthrow the government.

Niger, the world’s fifth-biggest uranium exporter, ranks as the world’s least-developed country among 189 in the United Nations’ Human Development Index.

Ibrahim started Celtel International BV. in 1998 and built it up to be Africa’s third-largest mobile phone company. Kuwaiti mobile-phone operator Zain bought 85% of Celtel for $3.4 billion in 2005.

Source: Niger’s President Wins World’s Biggest Cash Prize for Leadership
 
Hongera nyingi kwa Mtukufu Rais Mahamadou Issoufou wa Niger! Haki za binadamu, utawala wa sheria, na demokrasia vitu muhimu sana kwa kiongozi yeyote makini duniani.
Haya mambo sijui ya utawala bora haki za binadamu yanachelewesha maendeleo...wacha niinyooshe nchi kwanza...hao wa haki watawajengeeni madaraja , madarasa?
 
Waandaaji wa hii watakuwa wamenunuliwa na mabeberu si bure....yaani hawakumwona wa kwetu kweli.
Mimi kama mzareendo wa kweli siwaungi mkono hao walio fanya huo mchakato wa kumpata huyo mshindi.
 
Africa ina nchi nyingi na maraisi wengi na tuzo ni moja tu, Kati ya hao, Lazima awepo mmoja tu wa kushinda, Kwa urahisi zaidi...ni kama ilivyokuwa Kwa uchaguzi wa hapa, wagombea weeengi na wengine walitokea uberijiji huko, lakini mwisho wa siku aliyeshinda ni mmoja na kuruhusu tena Baadhi Yao kurejea makwao!!!
 
Haya mambo sijui ya utawala bora haki za binadamu yanachelewesha maendeleo...wacha niinyooshe nchi kwanza...hao wa haki watawajengeeni madaraja , madarasa?
Ubaya wa ulimwengu wa kidigitali kila unachofanya kinaonekana papo kwa papo na dunia ina kuhukumu
 
— Issoufou Mahamadou (@IssoufouMhm) March 8, 2021
Issoufou, 69, first took office in 2011 after years of political instability in the West African nation, including four coups since independence from France in 1960, and won re-election in 2016.

He’s set to be succeeded by his close ally Mohamed Bazoum, 61, a former interior and foreign minister, who won a run-off vote against ex-president Mahamane Ousmane on Feb. 21. The election paved the way for Niger’s first transfer of power by the ballot box....
... huko hawampigii chapuo abadili katiba ili aendelee kuwa madarakani kwa "makubwa aliyoifanyia nchi yake ndani ya muda mfupi"? Hao ndio viongozi wanaojua maana ya Katiba na umuhimu wa kusheshimu Katiba ya nchi.
 
Africa ina nchi nyingi na maraisi wengi na tuzo ni moja tu, Kati ya hao, Lazima awepo mmoja tu wa kushinda, Kwa urahisi zaidi...ni kama ilivyokuwa Kwa uchaguzi wa hapa, wagombea weeengi na wengine walitokea uberijiji huko, lakini mwisho wa siku aliyeshinda ni mmoja na kuruhusu tena Baadhi Yao kurejea makwao!!!
Hiyo tuzo naona ni ya mabeberu hivyo haitufwaaaiiii
 
Haya mambo sijui ya utawala bora haki za binadamu yanachelewesha maendeleo...wacha niinyooshe nchi kwanza...hao wa haki watawajengeeni madaraja , madarasa?
Halafu unamuuliza wewe unatuongoza kwa kutumia zipi au ni zile alizozikataa Nyerere kuwa "haiwezekani Rais akaamka na kuamrisha jambo fulani baada ya kushauriana na mkewe chumbani" ili na sisi wananchi tukiamrishwa tuseme lakini kweli hili jambo maana hata katiba inasema hivyo, ngoja tufanye.
 
... huko hawampigii chapuo abadili katiba ili aendelee kuwa madarakani kwa "makubwa aliyifanyoia nchi yake ndani ya muda mfupi"? Hao ndio viongozi wanaojua maana ya Katiba na umuhimu wa kusheshimu Katiba ya nchi.
Hata aina ya wabunge wao ni tofauti sana na hawa wa kwetu.
Nililaani sana kigezo cha sifa ya kuwa mbunge eti ni KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA.
 
Halafu unamuuliza wewe unatuongoza kwa kutumia zipi au ni zile alizozikataa Nyerere kuwa "haiwezekani Rais akaamka na kuamrisha jambo fulani baada ya kushauriana na mkewe chumbani" ili na sisi wananchi tukiamrishwa tuseme lakini kweli hili jambo maana hata katiba inasema hivyo, ngoja tufanye.
Kwa katiba ipi mzee?
 
Haya mambo sijui ya utawala bora haki za binadamu yanachelewesha maendeleo...wacha niinyooshe nchi kwanza...hao wa haki watawajengeeni madaraja , madarasa?
... kauli za mtu aliyeshindwa!
 
Back
Top Bottom