Nigerian Girls Are The Most Beautiful In Africa!

kumbe wanawake wakibongo mnajua wanawake wazuri wanapatikana wapi...so i guess hapa ni go ahead tuu ya sie kuwagegeda nyie lakini kwenda kuoa ethiopia au eritrea lol

hahah,wenye sifa wapee...ila kiukweli Tanzania na sisi tumo aftr hao wasomali rwanda nk..kw mtazamo wangu west africa na uganda hv nyuma sanaa
 
Njoo huku Endasak, Kateshi hadi Mbulu Hanang' wenyewe wapo wengi tu wakali mno, nywele hadi zinafunika mkia.... i love then!!!
 
mwenzenu kifua ndo udhaifu wangu kwa mwanamke. kuna mdada mmoja hapo juu kashika breast zake, yaani ngekua waziri wa nishat na madini nigemhonga hata kitalu cha gesi.
 
Uwooooongo,umetoa mada ili uonekane upo...wanaawake wazur hawapo nigeria,unajua kwann ule mji wa ethiopia unaitwa Adiss ababa????!!!,hebu msitudnganye,wengine wana'caught'..mtawatia aibu!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kaka mkubwa hii list yako naona haijakamilika bila Omotola aka Omosexy

Omotola-Jalade-ekeinde+411vibes.jpg

Huyu mdada mzuri jamani..
 
Juzi mtaani nilimuona dada mmoja wa hapa maarufu sana hapa jamvini jina kapuni :):) kasuka mabutu halafu hana make ups hata tone moja lakini alikuwa bomba sana...Dah!!!!

BAK ndo umeamua kuja kusema jamani??
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom