Nigerian Girls Are The Most Beautiful In Africa!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,807
2,000
Siyo naneno yangu mimi Mtambuzi, bali nimekutana na mtanange mzito mtandaoni kuhusu hii mada:
Mnaweza kufuatilia kwa kufungua hii forum:

Nigerian Girls Are The Most Beautiful In Africa! - Fashion - Nairaland

Copy to: Asprin KakaKiiza, Kipaji Halisi, mwekundu, jouneGwalu, Vin Diesel, Mwita Maranya, Jiwe Linaloishi, Elli, Kiranga, Bujibuji, Nyani Ngabu, Madewa, HorsePower, The Boss, mzabzab
 
Last edited by a moderator:

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,537
2,000
Wanawake wa Maboboo ni waovyo sana. Ndiyo maana huwa wanawapapatikia sana Watanzania wa Kike.

Hebu nenda kwa Le Mutuz uwaone wale Mabinti zake Wakareeeees....... Tetetee

 

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,807
2,000
Ndio huyo huyo...hii picha amefanya kunitumia kwa whatsapp

Pia hapo juu namuona mwanao Asnam ....


Haka kabinti kangu Asnam kwa kweli mungu amekajaalia, atayenilipa mahari atafaidi kweli kweli ........... LOL
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom