brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,382
Mwaka 2016 Anthony Joshua alirudi nchini Nigeria na kuomba kuiwakilisha nchi yake kwenye michuano ya Olimpic nchini Brazil, lakini waziri wa michezo alimkatalia kwakuwa hakua amekulia nchini humo kitendo hicho kulimfanya Joshua kurudi nchini England na kuiwalilisha Great British.
Anthony Joshua kwa sasa ni bingwa wa Dunia wa uzito wa juu na anatambulika ni muingereza
Sasa mama land yake Nigeria wameanza mkakati wa kumrudisha mtoto wao mpotevu na atambulile kama bingwa kutoka Nigeria
Nchini Nigeria tayari wameamua kuupa uwanja wa mpira jina lake na pia mtaani uliopo mjini kuelekea jumba la sinema utapewa jina lake
Hii ni mikakati ya mwanzo kumrudisha kijana
Anthony Joshua is set to have a stadium named
after him in Nigeria. The Sagamu International
Stadium is set to honour Joshua following his
11th round stoppage of Wladimir Klitschko at
Wembley on Saturday night. .
Yinka Mafe, the majority leader of the State
House of Assembly in the Ogun State
government in Nigeria, was among those who
watched Joshua’s win in an open air viewing
event. .
Joshua’s parents hail from the Ogun State
region of Nigeria. According to ESPN , Mafe has
vowed to rename the stadium after Joshua,
while the popular Cinema Street will also bear
his name. .
Joshua’s great grandfather, Omo-Oba Daniel
Adebambo Joshua, built the cinema that sits on
the road during the 1950s. “We are proud of
what he has achieved as a son of Sagamu, and
we will be happy to do our own little bit to show
our appreciation and support for him,” Mafe
said.