Nigeria yaingia gizani baada ya wafanyakazi wa kampuni za Umeme kugoma

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,323
7,963
Majiji kadhaa ya Nigeria ikiwa ni pamoja na Majimbo yake jana August 17 yaliachwa gizani baada ya wafanyakazi wa Kampuni za Usambazaji Umeme (TCN) na (AEDC) kuanza mgomo wa madai ya marupurupu.

Chama cha Taifa cha Wafanyakazi wa Umeme (NUEE) kilitangaza mgomo siku ya Jumanne wakati wa maandamano dhidi ya Kampuni ya Usambazaji Umeme ya Nigeria huko Abuja.

TCN wamewambia wateja kutakuwa na kukatika kwa umeme kutokana na mgomo huo na kufafanua kuwa wameanza majadiliano ya pande zote ili kuhakikisha wanapata muafaka na kurejesha huduma ya Umeme kwa haraka.

==================

Major Nigerian cities including the Federal Capital Territory, Abuja, were left in darkness Wednesday after electricity workers began a strike over welfare issues.

The National Union of Electricity Workers (NUEE) had announced the strike on Tuesday during a protest at the Transmission Company Of Nigeria’s headquarters in Abuja.

Electricity distribution companies told customers that there will be power outage as a result of the strike.

“The Abuja Electricity Distribution Plc (AEDC) wishes to inform its distinguished Customers that the interruption of the power supply being experienced across its franchise areas is due to the ongoing industrial issues between the NUEE and the TCN,” AEDC said in a notice.

The company said they were working to ensure that a mutual and amicable settlement is attained and power is restored.

Source: PremiumTimesNG
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom