Nigeria wanataka kununua ndege 2 za rais ili awe nazo 10 nani katuloga Africa?

Pezzonovante

JF-Expert Member
May 1, 2008
642
0
From my investigations, I don't think the leadership in Nigeria is ready to tackle corruption, if the President and executive is actually serious about this, the presidency will not include the purchase of two aircrafts in addition to the eight which he already has in his fleet.

“One of the items of expenditure in the current budget is the purchase of two more aircraft to bring the presidential fleet to over 10. What does the President need a fleet of aircraft for?

“How can Nigerians make sacrifices if the leaders are unwilling to sacrifice their exhubitant lifestyle? In any case, how many aircraft has the Queen of England?

“The British Prime Minister does not have any jet, he uses the British Airways. President Barack Obama pays for his food (unless when hosting a state banquet) and even pays rent on his official residence.”

It was around may of last year that Nigeria’s N7Bn Presidential Jet was Banned From Flying Worldwide. That is almost 70 days after the new N7.65bn presidential jet, Falcon 7X, touched down at the Nnamdi Azikiwe International Airport, Abuja, from the manufacturer’s factory in France, Dassault Aviation, France European authorities have banned the jet from flying in Europe and other parts of the world over safety issues.
 

mhondo

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
968
500
Wanadaı sısı nı kızazı cha mtoto wa Nuhu alıyelaanıwa baada ya kucheka kwa kuona utupu wa baba yake baada ya kulewa mvınyo.
 

mwaJ

JF-Expert Member
Sep 27, 2007
4,074
1,195
Huenda rais anataka kumechisha ndege na nguo anazovaa. Siku akivaa nguo ya brown anapanda ndege ya brown. Ikiwa blue, vivyo hivyo! Ha ha haaaaa! Aliyesema 'miafrika ndivyo tulivyo' hakukosea.
 

Wacha1

JF-Expert Member
Dec 21, 2009
16,348
2,000
They can afford .... .... .... mbona sisi tunazo mbili Zenji na bara zinafanya kazi gani kubwa kama sio ulimbukeni.
 

KXY

JF-Expert Member
Dec 31, 2011
877
250
Kule ambako kuwa na generator ni basic need..nafikiri hii habari ni tetesi, source?
 

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
5,101
2,000
Wanadaı sısı nı kızazı cha mtoto wa Nuhu alıyelaanıwa baada ya kucheka kwa kuona utupu wa baba yake baada ya kulewa mvınyo.

Mhondo, Mungu apishishie mbali hiyo laana lakini nadhani ni kweli! Otherwise how can you explain the actions of our so called leaders?
 

Goldman

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
1,841
2,000
kiukweli there is something wrong with our leaders, nilidhani jonathan ni kiongozi wa ukweli kumbe ni walewale!
 

Kitoabu

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,557
2,000
Jaman mmesahau kuwa sie mungu alitupa kipaji cha kupenda sifa kama vile wahindi walivopewa kipaji CHA kula au waarab kupenda kucameron au wachina waliopewa kipaji kutengeneza fake au wazungu Wenye kipaji CHA ushoga na usagaji, tufurahie uumbaji wa mungu. Si mnaona hata waking 50 cent wanavoshindana kununua vitu vya luxury Jaman, hatujalaaniwa Ila sie ni watu wa sifa. nan anabisha kuwa hapendi sifa? Nyosha mkono
 

Kombo

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
1,816
0
One of the items of expenditure in the current budget is the purchase of two more aircraft to bring the presidential fleet to over 10. What does the President need a fleet of aircraft for?

It was around may of last year that Nigerias N7Bn Presidential Jet was Banned From Flying Worldwide. That is almost 70 days after the new N7.65bn presidential jet, Falcon 7X, touched down at the Nnamdi Azikiwe International Airport, Abuja, from the manufacturers factory in France, Dassault Aviation, France European authorities have banned the jet from flying in Europe and other parts of the world over safety issues.

Kwani ana ndege ngapi kati ya hizo zinazofanya kazi?

Acheni ale maisha wakati huu kabla "wananchi wenye hasira kali" hawajamtoa madarakani.
 

Brightman Jr

JF-Expert Member
Mar 22, 2009
1,226
1,250
Hivi NDENGE ni kitu gani? Najaribu kuoanisha maelezo na topic naona kuna mpishano mkubwa hapa.
 

BINARY NO

JF-Expert Member
Dec 29, 2011
2,054
2,000
Thats Y BOKO HARAM wapo kazini coz wananchi wanateseka kwa umaskini still NIGERIA is biggest supplier of OIL to USA and other western nations but the gains is not propotion sasa wanainchi wafenye nini kama viongozi wao wapo corrupt to such extent? This is the reasons BOKO HARAM wanataka elimu yao ambayo wanaona ilikua bora kuliko hii elimu ya magharibi ambayo wanaona haina values zozote zaidi ya kuonekana kiulayaualaua zaidi....BOKO HARAM means WESTERN EDUCATION IS haramu na leo wamelipua vituo vya polisi kadhaa ktk mji wa KANO..omba BONGO wanainchi wasichoke ciz hii mikataba fake na viongozi kujitajirisha sijui wataenda kujificha wapi hawa mafisadi wenye elimu za ulaya still HAWATUSAIDII KITI ZAIDI YA UBINAFSI
 

Ndahani

Platinum Member
Jun 3, 2008
17,663
2,000
The list of the confused in Africa is long and the group gets larger day in day out. Badala ya kufikiria kuwasaidia watu wa kawaida kwa kutekeleza mambo ya msingi ambayo serikali inatakiwa kufanya wananunua ndege 2 kwa wakati mmoja.
Barabara hawana, mafuta ya kutumia matatizo, nishati ndo usiseme na security ni almost sifuri. Hii yote inasukumwa na corruption na 10%. Hakuna lolote na hawa viongozi wa africa,nani kawadanganya wakipata power wanakuwa sawa na miungu????Wanataka wapewe hata yale wasiostahili
 

Topical

JF-Expert Member
Dec 3, 2010
5,174
0
Duh ndege nane? Jonathan Goodluck ..ana jina kama wale mitume maarufu huko kwao so sishangai sana..
 

Somoche

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
5,180
2,000
Haya ndio ukiyaambia tuungane tuwe nchi moja hayatakubali kamwe as yanataka kuiba na kula kama mapaka hivi hivi tu..although we are blessed with vast wealth of Natural resources for me i think we have turned this blessing to be a curse..shem!!! thats why we left Ghadaff alone akauwawa hii Mijitu tunaita Viongozi hamana kitu kabisa...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom