Nigeria: Takriban watu 20 wauawa baada ya watu wenye silaha kuvamia soko

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Takriban watu 20 wameuawa katika eneo la Sokoto baada ya watu wenye silaha kuvamia soko na kuchoma magari. Tukio hilo ni mwendelezo wa ghasia za magenge ya uhalifu Nchini humo

Tangu Desemba 2020, ukanda wa Kaskazini magharibi mwa Nigeria umeshuhudia wimbi la matukio ya utekaji nyara wa Watoto wa Shule na Wanakijiji, hali ambayo imetajwa kuathiri maisha ya mamilioni ya watu

=======

At least 20 people were killed in Nigeria's Sokoto state when gunmen attacked a market and torched cars, as armed gangs continue to wreak havoc in the northwest part of the country, a state official and local member of parliament said on Saturday.

Northwestern Nigeria has since last December witnessed a wave of kidnappings of school children and villagers for ransoms by bandits, disrupting everyday life for millions of citizens.

Idriss Gobir, special advisor to the Sokoto police affairs minister, said the armed bandits rode on motorcycles and shot sporadically, killing several people.

"The bandits in large numbers killed at least 20 people that we have seen and counted and set nine vehicles on fire," he told Reuters by telephone.

Hussain Boza, a local member of parliament in Sokoto, blamed the attack on a lack of adequate security in the state.

A Sokoto police spokesperson confirmed the attack but could not immediately say how many people had been killed.

Parts of Sokoto, like other neighbouring states in the northwestern part of the country, are under a telecommunications blockade as part of a security operation to disrupt the operations of the armed gangs.

On Thursday, security agents rescued 187 people who had been abducted by armed gangs in Zamfara state.

Source: Reuters
 
The demons they created is coming back to hunt them. The problem is, it won't affect them bastards only, it affects the whole country and their neighbors.

things has fallen apart.
 
The demons they created is coming back to hunt them. The problem is, it won't affect them bastards only, it affects the whole country and their neighbors.
things has fallen apart.
Haya magenge huenda yakaja kuwa hatari hata kutishia usalama wa taifa kama ilivyokuwa kwa Colombia miaka ya 1990 au Mexico (wauza unga).

Buhari amebakiza kama miaka 2 tu aondoke, ngumu kutabiri ataiachaje nchi maana matatizo kila kona.

Nadhani umasikini na mdororo wa kiuchumi na hatua zisizoridhisha za serikali kufufua uchumi umelikuza zaidi hili tatizo.

Utajiri wote huo na unashindwa kuimarisha taasisi za usalama ni aibu.
 
Nigeria inavuma kuwa na uchumi mkubwa lakini wafaidika wakuu ni wachache sana, wanigeria wengi hawana tofauti na wakazi wa Keko au Tandale
 
Maeneo hayo yanayokaliwa na waislamu ndio yenye matatizo zaidi ya kiusalama.

Pamoja na kwamba marais wengi wa taifa hilo tokea uhuru wametokea eneo hilo la kaskazini lakini eneo hilo ndilo linaloongoza kwa umaskini uliokithiri katika nchi hiyo.

Pamoja na kwamba Nigeria ni nchi yenye wasomi wengi sana katika Afrika lakini eneo hilo la kaskazini ndilo lenye idadi ya watu wengi wenye kiwango kidogo sana cha elimu ukilinganisha na eneo la kusini mwa nchi hiyo lenye wakristo wengi.
 
Back
Top Bottom