Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 27,509
- 34,809
kabisa.
buhari kaharibu nchi kuliko watangulizi wake.
serikali inawashughulikia zaidi wanaotaka kujitenga kuliko inavyowashughulikia bandits na fulan.
hivi karibuni umoja wa falme za kiarabu ulianika majina ya watu wanaofadhili ugaidi naijeria but serikali ime mute, haitaki kuwashughulikia.
insecurity iliyopo naijeria inabaraka ya baadhi ya watumishi wakubwa wa serikali.
Ndoto ya Biafra itatimia hata kama si leo
Huyu Jonathan alikuwa naye wa hovyo tu, kumbuka ghasia za kidini huko Jos, pia ugaidi wa bokoharam ulishamiri kipindi chake (rejea utekaji wa wasichana kule Chibok)Heri Nchi angeendelea kuishika Goodluck Edibe Jonathan tuu,maana Nchi ilitulia kiuchumi na usalama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Buhari ana madhaifu yake ila matatizo ya Nigeria hayawezi kupatiwa suluhu ndani ya usiku mmoja.