Nigeria: Raia wa nchi hiyo waliokwama nje kutokana na Corona waanza kurudishwa

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Wizara ya Mambo ya Nje ya Nigeria imesema raia wapatao 4,000 waliokwama nje ya nchi baada ya mipaka kufungwa kutokana na Corona wataanza kurudishwa kuanzia leo.

Wataorejea wametakiwa kwenda karantini kwa muda wa siku 14 punde tu watakapofika

Kundi la kwanza lenye watu 265 litawasili Lagos kutokea Dubai kwa ndege ya Shirika la Emirates, wengine 300 watarudi Ijumaa wakitokea London na wengine wataingia nchini humo Jumapili kutoka New York

Nigeria ililegeza masharti ya kudhibiti mapema wiki hii na wananchi wameanza kwenda kazini. Wamesisitizwa kuchukua tahadhari za usalama zilizotolewa ikiwemo kuvaa face mask (barakoa)

Kwa mujibu wa takwimu rasmi za nchi hiyo, ina maambukizi 2,950 na watu 98 wamefariki dunia kutokana na Corona

=======
Nigeria is scheduled to start repatriating nationals stranded overseas by coronavirus travel restrictions on Wednesday.

The first batch of 265 Nigerians will fly back to Lagos from Dubai by an Emirates flight, followed on Friday by 300 others from London, the foreign ministry said.

An unspecified number of Nigerians is also expected to return from New York on Sunday, the AFP news agency reported.

"The federal government has commenced the process of evacuating willing Nigerian nationals outside the country," a statement said late on Tuesday. "The evacuees on arrival in Nigeria will undergo a mandatory 14-day supervised quarantine in a monitored environment."

Nigeria, Africa's most populous nation, closed its international airports in March and has only been allowing special flights to repatriate foreign citizens to their home countries.

The index case of the virus in Nigeria was an Italian businessman who came to Lagos in February.

Since then the virus has infected 2,950 and killed 98 people, according to official figures.

The bulk of the infections and deaths occurred in Lagos and the nation's capital, Abuja, prompting President Muhammadu Buhari to impose a five-week lockdown on both cities.

The restrictions were relaxed on Monday to enable residents to return to work, but with strict instructions to comply with all restrictions and safety rules, including the mandatory wearing of face masks and social distancing.

The country recorded its highest single-day infection cases of COVID-19 on Monday. A total of 245 new cases were confirmed by the Nigeria Centre for Disease Control (NCDC), including 73 in Lagos.

Source: Al Jazeera
 
Huo ni usanii 100%, labda kama wamefukuzwa huko. Mnigeria kavuka jangwa la Sahara na bahari kukimbia kwao kuingia Ulaya leo uje umwambie umtumie ndege arudi Nigeria? WTF
 
Huo ni usanii 100%, labda kama wamefukuzwa huko. Mnigeria kavuka jangwa la Sahara na bahari kukimbia kwao kuingia Ulaya leo uje umwambie umtumie ndege arudi Nigeria? WTF
Wengine walienda ki biashara maisha yao yapo nigeria.kwanza hiyo idadi ni ndogo sana ukilinganisha na wingi wao
 
Back
Top Bottom