Nigeria: Mahakama yaamuru Benki kufungua akaunti za Wanaharakati

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Mahakama Kuu Nchini humo imeamuru Mamlaka kuzifungua akaunti za benki za watu 20 waliohusishwa na maandamano makubwa ya kupinga ukatili unaofanywa na Polisi

Awali Benki Kuu ilisema akaunti hizo zilifungwa kwasababu wamiliki walikuwa wanachunguzwa lakini wakosoaji wa Serikali waliona hatua hiyo inalenga kuzuia maandamano zaidi

Oktoba mwaka jana, wananchi wa Nigeria waliandamana dhidi ya ukatili unaofanywa na Polisi. Harakati zao ziliungwa mkono na watu kutoka Mataifa mbalimbali

====

A high court in Nigeria has ordered the authorities to unfreeze the bank accounts of 20 people linked to last October's protests against police brutality.

The Central Bank initially said the accounts had been frozen because it was investigating their owners.

Government critics saw the move as intimidatory and aimed at preventing further demonstrations.

A lawyer, Femi Falana, said he’d been instructed by his clients to sue the Central Bank of Nigeria.

There are renewed calls for people to take to the streets this Saturday to demand justice after the security forces opened fire on people in Lagos in October - an event that abruptly ended the protests.
 
Back
Top Bottom