Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
NIGERIA inaendelea kushika nambari moja kwa uzalishaji wa mafuta barani Afrika licha ya kuporomoka kwa bei ya nishati hiyo katika soko la kimataifa huku ikishika nafasi ya 13 duniani.
Kushuka kwa bei ya mafuta duniani hakujaathiri sana uzalishaji katika mataifa ya Afrika kwa mujibu wa ripoti ya taasisi ya KPMG ya mwaka 2013 isemayo: Oil and Gas in Afrika: Africa's reserves, potential and prospects.
SOMA ZAIDI...