Nigeria Embasy inTanzania

nginda

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
744
82
Ndugu zangu wana JF nina mpango wa kusafiri kibinafsi kwenda Nigeria. Kama mnavyoelewa taratibu za nchi husika lazima zizingatiwe. Noamba kkuliza kama Tanzania kuna ofisi za unalozi wa Nigeria, na kama zipo ni eneo na mtaa gani? Nitashukurukwa msaadawenu.
 
Address: NO 3 ALI HASSAN MWINYI ROAD, DAR-ES-SALAAM, Tanzania
Phone: +255-51-666000
+255-51-666001
+255-51-666843
Email: nhc-dsm@raha.com

... Hiyo 051 ni address ya zamani sana enzi za 1990's Code ya Dar kwa sasa ni 022... Kwa sasa ubalozi wao upo Oysterbay Haille Sellasie Road
baada ya Collesium Hotel ukitokea St.Peters... info zao zaidi sina...
 
Dial 0754256660 thats their landline.. Za kwny directory hazifanyi kazi.. Kama Tusker baridi alivyesema next to colosseum hotel kuna embassies 2 zenye green na white the 2nd one kila la heri 9ja is beautiful.
 
... Hiyo 051 ni address ya zamani sana enzi za 1990's Code ya Dar kwa sasa ni 022... Kwa sasa ubalozi wao upo Oysterbay Haille Sellasie Road
baada ya Collesium Hotel ukitokea St.Peters... info zao zaidi sina...

Mzee, wa Tusker Bariiiiiiiiiiidi,

pale collesium nasikia ni wataalamu sana kwa "masaji"?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom