mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Rais wa nigeria alikuwa na matatizo ya kiafya. Raia wengi walijitokeza kumuombea na kumtakia heri na apone haraka. Raia mmoja wa nigeria anayeishi Uingeleza alififia mbali zaidi akamuandikia barua ya pole na kumtumia kadi.
Katika hali isiyotarajiwa Rais Huyo alijikunja akatype barua ya kumjibu na kumshukuru raia wake kwa kumtakia kheri...