Nigeria: Baada ya miezi 3 abaini 'house girl' ni mwanaume

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Mwanamke mmoja raia wa Nigeria, amezua taharuki mitandaoni kwa kusimulia yaliyomkuta baada ya kubaini kuwa mtu aliyemwajiri kama mfanyakazi wa ndani mwanamke 'house girl' sio wa jinsia ya kike bali ni mwanaume.

Mwanamke huyo amebaini kuwa huyo si mwanamke baada ya kumfanyia kazi kwa takribani miezi mitatu.

Kwenye video hiyo, mwanamume huyo anaoneshwa akiwa amekaa chini akiwa amevaa sidiria, suruali ya kike na alikuwa amevaa wigi kichwani kwake.

======================================================================

Nigerian Lady Shares Video as She Discovers after 3 Months that Her Housegirl Is Actually a Man, Disgraces Him

Imagine employing a female to work for you as a househelp only to discover that the person is not all 'she' seems, this is the case of a Nigerian female boss.

The unidentified woman discovers that quite contrary to what she was made to believe, her househelp is actually a man and not a lady.

He was disgraced In the clip, the houseboy could be seen seated on the floor with only a bra and a lady's jeans trousers. He had a wig on his head too.

The deceptive housemaid was eventually put in a vehicle and is believed to have been taken to the police station.

One can only wonder how the houseboy stayed for three months without his cover being blown and what mistake he made that eventually gave him away.

KAGUOO.jpg
 
Mwanamke mmoja raia wa Nigeria, amezua taharuki mitandaoni kwa kusimulia yaliyomkuta baada ya kubaini kuwa mtu aliyemwajiri kama mfanyakazi wa ndani mwanamke 'house girl' sio wa jinsia ya kike bali ni mwanaume...
Hii habari si mpya ni ya miaka mingiiii
Zilipendwa
Kumbe umejiunga juzi
JF iko mbele ya wakati
Mnajaza server bila sababu
 
METHALI 18:21

Mauti na uzima huwa katika uwezo wa ulimi;
Na wao waupendao watakula matunda yake.
... Naye Mungu akamwambia Sulemani, Kwa sababu neno hili lilikuwamo moyoni mwako, wala hukujitakia mali, wala utajiri, wala utukufu, wala maisha za wakuchukiao, wala hukujitakia maisha ya siku nyingi; bali umejitakia hekima na maarifa, upate kuwahukumu watu wangu, niliokutawaza juu yao; basi hekima na maarifa umepewa; nami nitakupa mali, na utajiri, na utukufu, kupita walivyokuwa navyo wafalme wote waliokuwa kabla yako, wala baada yako hapatakuwa na mtu atakayekuwa navyo.
 
Sasa mbona hapo hakuna neno lililokataza kuhusu Mtu kuomba uhai?

Hivi mnasoma Biblia kwa kumwomba Roho Mtakatifu awaongoze muielewe kiufasaha au mnasoma kama magazeti ya mipasho tu ilimradi tu mmesoma Biblia?

2 WAFALME 20:2-6

"Basi Hezekia akajigeuza, akaelekeza uso wake ukutani, akamwomba BWANA akasema,

Nakusihi, BWANA, ukumbuke sasa, jinsi nilivyokwenda mbele zako katika kweli na kwa moyo mkamilifu, na kutenda yaliyo mema machoni pako. Hezekia akalia sana sana.

Ikawa, kabla Isaya hajatoka katika mji wa kati, neno la BWANA likamjia, kusema,

Rudi, ukamwambie Hezekia, mkuu wa watu wangu, BWANA, Mungu wa Daudi baba yako asema hivi, Nimeyasikia maombi yako, na kuyaona machozi yako; tazama, nitakuponya; siku ya tatu utapanda nyumbani kwa BWANA.

Tena, nitazizidisha siku zako, kiasi cha miaka kumi na mitano, nami nitakuokoa wewe, na mji huu, na mkono wa mfalme wa Ashuru, nami nitaulinda mji huu kwa ajili yangu, na kwa ajili ya Daudi, mtumishi wangu."
 
... kuongezewa siku za kuishi ni mapenzi ya Mungu mwenyewe; hatujiombei siku nyingi za kuishi, omba mengine; ikimpendeza Mungu atakuzawadia na siku kama alivyofanya kwa Suleman na Hezekia. Ombea wengine maisha marefu lakini sio wewe kujitakia siku nyingi! Haiko hivyo.
 
Huyo atakuwa ni Transgender, kwa maana kwamba atakuwa na maumbile ya kike hadi matiti lakini ana uume hana uke. Wako kwenye nchi zote hata hapa Tanzania pia wapo. So it's not a big deal.
 
Nawaza kwa sauti ingetokea mume kasafiri alafu wabaki wawili na mama mwenye nyumba .... alafu kuna ka mvua mvua flani kakizushi .... naomba niishie hapa 🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom