Niger: Wanamgambo wavamia Msikiti, raia kumi wauawa

Kwa ufahamu wako, huo uislam ni imani ya Mungu mwumbaji wa vitu vyote, AU ni tawi la sanaa za maigizo ya shetani aitwaye kwa kilugha cha wafuasi wake kwemba ni ala?
Kuhusu hilo sifaham ila nilichozungumzia ni kitendo cha hao wanamgambo wenye msimamo mkali kwa kitendo walichokifanya hawamuwakilishi Mungu
 
Kama hutapandisha mashetani ya bwana mohamed, jamaa mwenye maovu mengi na uwongo wa kijinga, ambaye wafuasi wake badala ya kujadili ukweli, hukimbilia mapanga na matusi ili wasieleweshwe ukweli, naomba tujadili. "Uislam ni kitu gani?"
unataka kujua uislamu ni kitu gani??

uislamu ni mfumo wa maisha wenye kumpwekesha Mwenyezi Mungu alie mkuu kuliko kitu chochote katika dunia hii
 
sijawahi ona andiko lolote ndani ya Quran linaloluhusu kuua watu wasio na hatia
kama wewe una andiko hilo liweke hapa watu waelimike mkuu

navyofahamu mimi msingi wa mfumo mzima wa dini ya kiislamu ni amani
na yatakiwa umpende muislamu mwenzio kwa mapenzi makubwa
na yule ambae si muislamu ufanye juhudi kwa kumuita katika dini kwa elimu na upole na sasa unapomuona mtu anaua binadamu mwinzie bila sababu huyo ana dhambi kubwa mbele ya Mungu

Amani ya Mungu iwe nawe
Ukisema kwamba Quran hairuhusu kuua mtu asiye na hatia unamaanisha nini?

Je,mwenye hatia Ni halali Kuuawa kwa mjibu Quran?

Je,huyo mhusika Nani anasema anahusika kabla ya adhabu hiyo ya kifo?

Unajua uislamu Ni dini Nzuri Sana,Mimi Ni Mkristo lakini nimeishi na Waislamu Mkoani Tanga kwa Miaka 5. Hawa jamaa hawana shida kabisa.

Nadiliki kusema,uislamu ungelikuwa ndio dini iliyojikamilisha kuliko dini zote endapo kipengele Cha Jihad kisingelikuwepo. Kipengele hiki kinawapa Go ahaed hata Wenye dhambi Kama Taliban eti kutoa hukumu ya Kifo kwa Mtu aliyetenda uharifu.

Harafu,unaposema kuua mwenye hatia Ni sawa,je huyo mwenye hatia unamjuaje? Make hao wanajilipua na kuua wanawake na watoto huenda wao wanawaona wanahatia ilihali wewe unawaona hawana hatia. Tafsiri ya mwenye hatia na asiye na hatia ndio inaleta Mkanganyiko. Ni sawa na Kesi ya Uchochezi hapa kwetu,Hiyo kesi ya Uchochezi inafit popote pale wakiamua kukupa hiyo kesi,kwahiyo inategemeana na lengo la Mtoa hukumu tu.
 
watu wengi wanapotosha ima kwa kujua ama kutojua maana halisi ya neno jihad
ni kwa vile uislamu hautaki unyonge unapodhumuliwa haufundishi kwamba ukae chini ulie bali wataka upambane kutetea haki yako na msaada wa Mwenyezi Mungu utakuwa nawe kwenye mapambano hayo

kwa hiyo jihadi sio kumwaga damu za watu ama kudhulumu watu ila kupambana dhidi ya kuondosha uovu
jihadi ni kupambana pia na nafsi yako isikupelekee katika maovu kama zinaa wizi nk
jihadi ni kupambana kwa nguvu zako kutafuta mali ya halali
jihadi ni kuamrisha mema na kukataza maovu
imefika mpaka mtume Muhammad(saw) anatuonya ikiwa hatutoamrisha mema na kukataza maovu rehema za Mwenyezi Mungu zitakuwa mbali na sisi
sasa ikiwa tunawaua hao tuliosisitizwa tuwahuburie juu ya kutenda mema na kuacha maovu basi hatujaujua uislamu
 
Kuhusu hilo sifaham ila nilichozungumzia ni kitendo cha hao wanamgambo wenye msimamo mkali kwa kitendo walichokifanya hawamuwakilishi Mungu
Ni nini kwenye uislam hata ule wa kawaida kinacho mwakilisha Mungu? Kumbuka waislam wameagizwa na huyo mtume wao kwamba wawaue Wakristo, Wayahudi na Wanafiki. Hao waislam wanaouliwa ni wale wanafiki ambao hawafanyi uislam sahihi.
 
Wewe ndiye huujui uislam. Subiri hapa usiondoke.
Unaabudu mtu mzinifu anayelala na mke wa mtoto wake, anaoa mtoto wa miaka 6, analala na Zena mke wa mfuasi wake,. Anawadanganya eti wakienda kuzimu watakuta bikira 72 weupe sana kiasi cha kuona hata marrow za mifupa yao kwa kuwa ni weupe kama kioo!. Kweli huko ni kwa Mungu?

Wewe ni mtu wakuhurumiwa huyo unaemtukana hakujui na hana shida na wewe, pia tuambie nani aliwahi kukupiiga panga au ndio propaganda zenyewe zimekuingia
 
Lakini waislam wanasema hakuna Mungu, ila ala. Huyu Mungu anatoka wapi?
hujaelewa tu kiswahili ndugu yangu
mtu akikuambia hakuna Mungu ila Allah(sw) ni sawa na yule anaesema hakuna raisi ila magufuli
mbona hata wenzenu mpka wanaimba hakuna Mungu kama wewe bwana yehova kwa hiyo hapa utahoji pia kwa nini anaitwa bwana ama yehova???

Katika uislamu tunafundishwa Mungu ana majina 99 na hilo Allah (sw) ni mojawapo
 
Wewe ndiye huujui uislam. Subiri hapa usiondoke.
Unaabudu mtu mzinifu anayelala na mke wa mtoto wake, anaoa mtoto wa miaka 6, analala na Zena mke wa mfuasi wake,. Anawadanganya eti wakienda kuzimu watakuta bikira 72 weupe sana kiasi cha kuona hata marrow za mifupa yao kwa kuwa ni weupe kama kioo!. Kweli huko ni kwa Mungu?
Muhammad hakuwa mzinifu
hata kama kaoa mtoto wa miaka sita(hivyo unavyosema wewe) wakati wazazi wake waliridhia na tena wakawa mstari wa mbele kuzidi kumpenda na kumheshimu Muhammad wewe sijui kinakuuma kitu gani wakati alifata process zote na wenye mtoto wao wakampa.

na mbona la kuoa wajane hamlitaji kama angekuwa na tabia chafu kwa mamlaka yake na ushawishi wake si angewachukua vigori wote wa maka na madina kama mswati

huyo zena labda muhammad ulimpa wewe Muhammad hakupata kuoa mwanamke anaitwa zena, sisi tunamjua zainab

uislamu raha jamani na tunawasubiri kwa hamu hao mabikra tulioahidiwa Mtume
kama wewe unaona mabikra sio neema ya kuwekwa peponi basi waulize kina suleiman na mswati raha ya ngono watakuambia
tena raha zimeanza hapa duniani tuna mizigo minne minne waislam
kalaghabao kwenu mnaoambiwa muoe mke mmoja na huku mnazini na michepuko kibao nje ya ndoa
 
hujaelewa tu kiswahili ndugu yangu
mtu akikuambia hakuna Mungu ila Allah(sw) ni sawa na yule anaesema hakuna raisi ila magufuli
mbona hata wenzenu mpka wanaimba hakuna Mungu kama wewe bwana yehova kwa hiyo hapa utahoji pia kwa nini anaitwa bwana ama yehova???

Katika uislamu tunafundishwa Mungu ana majina 99 na hilo Allah (sw) ni mojawapo
Wapi ala alisema yeye ni Mungu?

Kusema hakuna Mungu kama Yehova, ina maana kwamba yote mingine ni takataka. Yehova ndiye Mungu mkuu.

Na kusema hakuna Mungu ila ala, ni sawa na kusema hakuna hakuna kitu kinachoitwa mungu, ila kuna ala. Sawa na mtu anayesema hakuna chakula kinachoitwa "mchicha", ila "mgagani", mtu huyo akiwa hajui wala haamini kama kuna mboga inaitwa mchicha, ila anachokijua yeye ni mgagani .

Ni kwlei kwamba huyo jamaa mhamedi hakuwa na dini ila alikuwa anabangaiza kuunganisha mistari ya Kikrito, kihindu, kiyahudi, na ki serbia, anaposikia?

Ni kweli alikuwa kahaba wa kiume?
 
Muhammad hakuwa mzinifu
hata kama kaoa mtoto wa miaka sita(hivyo unavyosema wewe) wakati wazazi wake waliridhia na tena wakawa mstari wa mbele kuzidi kumpenda na kumheshimu Muhammad wewe sijui kinakuuma kitu gani wakati alifata process zote na wenye mtoto wao wakampa.

na mbona la kuoa wajane hamlitaji kama angekuwa na tabia chafu kwa mamlaka yake na ushawishi wake si angewachukua vigori wote wa maka na madina kama mswati

huyo zena labda muhammad ulimpa wewe Muhammad hakupata kuoa mwanamke anaitwa zena, sisi tunamjua zainab

uislamu raha jamani na tunawasubiri kwa hamu hao mabikra tulioahidiwa Mtume
kama wewe unaona mabikra sio neema ya kuwekwa peponi basi waulize kina suleiman na mswati raha ya ngono watakuambia
tena raha zimeanza hapa duniani tuna mizigo minne minne waislam
kalaghabao kwenu mnaoambiwa muoe mke mmoja na huku mnazini na michepuko kibao nje ya ndoa
Wewe acha ujinga. Wewe unaweza kuoa mtoto wa miaka 6 hata kama umepewa? Ukipewa huwezi kumlea kama mtoto hadi umlale? Mwogopeni Mungu enyi watu wa gizani.

Alivyomlala Zena alikuwa mjane? Mbona mme wake alipotaka kumwacha alimwambie usimwache? Ujane gani huio?

Mariya, aliyekuwa mfanya kaiz wa mkewe alivyokuwa akimlala kwa wizi, hadi akafumaniwa, naye alikuwa mjane?

JIfunzeni kujua hhicho mnachokiabudu kwa kutokujue, kitawagharimu umilele.

Wewe hujui habari za huyo mtu. Alilala na zena aliyekuwa mke wa mfuasi wake!. subiri nitaanzisha uzi ili uone hicho mnachokiabudu ni kitu gani.
Tatizo la waislam, hamuwezi kueleza lolote kuhusu ubora wa dini yenu, zaidi ya kujiahani kwa kusema habari za imani za walioshindwa.

Kwa hiyo, mungu wenu anasimamisha uungu wake wa gizani kwa sababu ya "Wakristo wanaoshindwa kutembea katika imani".

Wanaofanya mapenzi nje ya ndoa, ni waKristo wenye dhambi, walioshindwa, lakini maagizo ya Imani ya Mungu wa kweli hayak o hivo. Hata wao wanalijua kwamba wanashida.

Sasa huwezi kuona kwamba Kristo amesimama katika Kweli kwa kuwa Yeye ni Mtakatifu, Njia Kweli na Uzima, na anataka watu wawe watakatifu? Huoni kwamba pamoja na dhambi za binadamu, lakini bado anaita watu watubu na kuziacha?. Ila ala ndiye anawashawishi wafanya dhambi ? Huyo ala siye shetani kwa kuwa anataka watu wamuasi Mungu? Unawezaje kumwita Mungu, ala ambaye anafundisha watu wamuasi Mungu?
Acha nianzishe uzi wa kukuelezea hayo maovu ya ala, namna alivyomshauri mohamedi afanye ushirikina, akamhadaa aabudu mawe kwa imani ya watoto watatu wa kike wa ala na.k.

Kama hujui uistukane uliza kujua. maana siku inakuja, hutakuwa na nafasi ya kkuelewa tena.

Kwanza angalia hapa.

Wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wenye msimamo mkali wamewauwa wanakijiji 10 katika shambulizi la msikitini mapema wiki hii magharibi mwa Niger.

Tukio hilo limetokea katika eneo la Tillaberi kwa mujibu wa taarifa za wakazi wa eneo za Jumatano.

Shambulizi la Jumatatu lilifanyika katika Kijiji cha Abankor katika eneo la mpaka unaokutanisha mataifa matatu ya Niger, Mali na Burkina Faso.

Afisa wa mji wa Banibangou ameliambia shirika la habari la AFP, kwamba washambuliaji hao waliwasili wakiwa katika pikipiki wakati wa sala ya jioni, na walio uwawa walikuwa ndani ha msikiti.

Mkazi wa mji wa karibu wa Tondiwindi alithibitisha kutokea kwa shambulizi hilo na idadi ya vifo.

Moja ya kituo cha redio katika meneo hayo kimetangaza zaidi ya watu 10 waliouwawa na kuongeza kwamba shambulizi lilitokea mapema jioni.
Wanamgambo wenye msimamo mkali…

Msimamo dhidi ya nini, tohara za wanawake ?

Ngoja nitafute vyanzo vya waandishi walioenda shule, sio hawa wetu wa Nyegezi College
 
Hakuna jambo lolote la siri katika uislamu, vilevile hakuna mazingira (katika uislamu) yoyote yale inaruhusiwa kuuwa watu aidha wawe msikitini,kanisani au mahala pengine. Hao wanaouwa watu na kuitwa eti ni waislamu wenye itikadi au misimamo mikali they are criminals like other criminals.
Je wafanya biashara ya utumwa wanawekwa kundi gani
 
ni jukumu lenu waislam kukemea hao watu wasitumie kivuli cha dini yenu ila kukaa kwenu kimya kunehalalisha ubaya WAP uwe ndo ubaya wa uislamu. , mtu akimwanyooshea kidole msilalame
Wakati kimoyo moyo wanasema mashallah dola ya umayad lazima isimame
 
Kwanini kile kitabu hakitafsiriwi kwa lugha mbalimbali ili kila mtu aweze kusoma na kuelewa yaliyomo?
Mbona zipo Quran za Kiswahili tafuta mtandaoni utazioni.
Quran inasoma kwa lugha iliyoshushwa nayo kwadababu ukutafisiri kitu kuna mambo utaongeza au kupunguza kutokana na kukosa maneno au misamiati ambayo inaendana.
Umesikia saga la tv show ya kikorea netflix inayojulikana kama Squid Game? Walipoiwekea subtitiles za kingereza zimebadili maana ya mazungumzo kwasababu kuna vitu ukivitafsiri kwenda lugha nyingine vinapoteza maana.
 
Back
Top Bottom