Niger: Wanamgambo wavamia Msikiti, raia kumi wauawa

ni jukumu lenu waislam kukemea hao watu wasitumie kivuli cha dini yenu ila kukaa kwenu kimya kunehalalisha ubaya WAP uwe ndo ubaya wa uislamu. , mtu akimwanyooshea kidole msilalame
Kukemea ni kukemea na kuzuia ndio kugumu, mwanadamu akishirikiana na shetani ni ngumu kumshinda kwa mbinu,
Hivi kwa mfano unaanzaje kumzuia mtu asivae kanzu na kofia(ingawa kiuhakika kanzu na kofia sio kuwa ndio atakuwa muislamu) kufanya uchafu wanaoufanya?
Au wale wanaovaa misalaba kifuani na huku wanatifuana waziwazi kwenye picha za ngono hivi ndio wanawakilisha ukristo?
Au ndio umefundisha hivyo?bila shaka siyo
So tupunguze mihemko tujaribu kuwa waadilifu tunaweza kutoa maamuzi sahihi
 
Huwa napata shida sana kuelewa imani ya uisilamu. Kuna mafundisho fulani nahisi huwa ni halali lakini huenda hayawekwi hadharani kwa kuwa kijamii ni haramu
Hawa wavaa vipedo ata wao hawajui wanacho kitaka
Ukweli: Bila uislamu dunia ingekuwa sehemu salama na yenye maendeleo makubwa.
Alafu et turuhusu hawa wapuuzi watawale dunia kwa taratibu zao izi za kipumbavu?

Hiki ni mojawapo ya kizazi ambacho kinapaswa kifutiliwe mbali kulinda amani ya dunia.
hamna hata mda wa kuisoma habari kwa kina mkatafakari
kazi kulaumu kwa chuki tu ambayo imewajaa moyoni juu ya uislamu
watu wameuwawa msikitini bado uislamu mbaya je wangeuwawa wa kanisani si mngeharisha kabisa?

msiwe mnaubeza uislamu kwa upumbavu wa watu wachache
uislamu ndo mfumo sahihi wa maisha
 
Rekebisha hapo andika mfumo mbaya kwa maisha ya mwanadamu, mfumo gani mzuri wa kuuwa watu wasio na hatia.

Au hii dini ni zao la shetani? Maana mambo yake ya hovyo kuliko hata uhovyo wenyewe
 
Rekebisha hapo andika mfumo mbaya kwa maisha ya mwanadamu, mfumo gani mzuri wa kuuwa watu wasio na hatia.

Au hii dini ni zao la shetani? Maana mambo yake ya hovyo kuliko hata uhovyo wenyewe
sijawahi ona andiko lolote ndani ya Quran linaloluhusu kuua watu wasio na hatia
kama wewe una andiko hilo liweke hapa watu waelimike mkuu

navyofahamu mimi msingi wa mfumo mzima wa dini ya kiislamu ni amani
na yatakiwa umpende muislamu mwenzio kwa mapenzi makubwa
na yule ambae si muislamu ufanye juhudi kwa kumuita katika dini kwa elimu na upole na sasa unapomuona mtu anaua binadamu mwinzie bila sababu huyo ana dhambi kubwa mbele ya Mungu

Amani ya Mungu iwe nawe
 
hamna hata mda wa kuisoma habari kwa kina mkatafakari
kazi kulaumu kwa chuki tu ambayo imewajaa moyoni juu ya uislamu
watu wameuwawa msikitini bado uislamu mbaya je wangeuwawa wa kanisani si mngeharisha kabisa?

msiwe mnaubeza uislamu kwa upumbavu wa watu wachache
uislamu ndo mfumo sahihi wa maisha
Taliban, IS, Boko Haram and so ndio wanaishi maisha halisi ya kiislamu.
Usiutenganishe uislamu na matendo ya hao jamaa
 
sijawahi ona andiko lolote ndani ya Quran linaloluhusu kuua watu wasio na hatia
kama wewe una andiko hilo liweke hapa watu waelimike mkuu

navyofahamu mimi msingi wa mfumo mzima wa dini ya kiislamu ni amani
na yatakiwa umpende muislamu mwenzio kwa mapenzi makubwa
na yule ambae si muislamu ufanye juhudi kwa kumuita katika dini kwa elimu na upole na sasa unapomuona mtu anaua binadamu mwinzie bila sababu huyo ana dhambi kubwa mbele ya Mungu

Amani ya Mungu iwe nawe
Kwa mujibu wa Uislamu ni ruksa kumuua kafiri.
Na kwa mujibu wa Taliban IS Boko Haram kaffir ni mtu yeyote asiye na dhehebu la kufuga ndefu na kuvaa kanzu fupi
 
Kwa mujibu wa Uislamu ni ruksa kumuua kafiri.
Na kwa mujibu wa Taliban IS Boko Haram kaffir ni mtu yeyote asiye na dhehebu la kufuga ndefu na kuvaa kanzu fupi
usiongee mambo usiyoyajua kwa kutaka kupotosha na kufurahisha watu maandiko yapo wazi
Uislamu unaongozwa na vitu viwili tu Quran(maneno kutoka kwa Mwenyezi Mungu) na Hadithi(maneno/matendo kutoka kwa Muhammad)
ndani ya Quran na sunnah hakuna mafunzo yanayohalalisha kumuua kafiri asie na hatia

ushahidi wa haya Quran surat baqara aya ya 256 ''hapana kulazimisha{mtu}katika dini.kwani uwongofu umeshapambanuka na upotofu"
ama surat maida aya ya 32 na nyingine nyingi ndani ya Quran zinatahadharisha juu ya dhima kubwa anayobeba mtu kwa kumuua mtu asie na hatia
kiufupi dunia imejaa watu wengi wema na waovu walio ndani ya uislamu na walio nje ya uislamu na sio ajabu kukuta mtu anatumia kivuli cha dini kuhalalisha uovu wake lakini hilo halifanyi dini kuwa kitu kiovu, dini ndio njia ya heri dini ndio ustaraabu
 
Kwdli chuki na roho mbaya haimwachi mutu salama,
Yaani watu wakiua kanisani ni waislamu, wakiua baa ni waislamu, wakiua sijui mall ni waislamu sasa wameua msikitini pia ni waislamu?!
Hembu shtukeni wandugu tafuteni ukweli
Angalau mujadili kiuadilifu

Ndiyo ujuwe uisilamu unapigwa sana vita mkuu. Akitokea mkristo ameuwa wakristo wenzie utackia alikuwa na matatizo ya akili/ameuwa waisilamu utackia hayohayo maneno yao.
 
Ukweli kabisa;- bila uwepo wa mtu mweupe wa aina yoyote ile, dunia ingekuwa mfano wa paradiso
Kwamba wangekuwepo weusi watupu?Weusi upi uusemao, wa tanzania au wa kenya au wa sudan? Au wa india au wa kuwait? Kote huko kuna weusi tena weusi tiii tiii kuliko hata mkaa,
Au weusi wa kinubi?
Pia kuna weupe wa kirangi na weupe wa kinyaturu ujue
 
sijawahi ona andiko lolote ndani ya Quran linaloluhusu kuua watu wasio na hatia
kama wewe una andiko hilo liweke hapa watu waelimike mkuu

navyofahamu mimi msingi wa mfumo mzima wa dini ya kiislamu ni amani
na yatakiwa umpende muislamu mwenzio kwa mapenzi makubwa
na yule ambae si muislamu ufanye juhudi kwa kumuita katika dini kwa elimu na upole na sasa unapomuona mtu anaua binadamu mwinzie bila sababu huyo ana dhambi kubwa mbele ya Mungu

Amani ya Mungu iwe nawe
Mmmmmmmmh!!!.Sawa.
 
Hao ni mawakala wa shetani tu hawana tofauti na wale Taleban, hata kama una msimamo kiasi gani unawezaje kuua mtu asiye na hatia tena yupo nyumba ya ibada
Kwa ufahamu wako, huo uislam ni imani ya Mungu mwumbaji wa vitu vyote, AU ni tawi la sanaa za maigizo ya shetani aitwaye kwa kilugha cha wafuasi wake kwemba ni ala?
 
Subiri ufe ndiyo utajuwa,,,sasaiv pumzi inakupa kibuli.

Mungu awabariki sana sana waarabu, wamesambaza uisilamu kila kona ya afrika. I'm proud to be a muslim
Kama hutapandisha mashetani ya bwana mohamed, jamaa mwenye maovu mengi na uwongo wa kijinga, ambaye wafuasi wake badala ya kujadili ukweli, hukimbilia mapanga na matusi ili wasieleweshwe ukweli, naomba tujadili. "Uislam ni kitu gani?"
 
Huwa napata shida sana kuelewa imani ya uisilamu. Kuna mafundisho fulani nahisi huwa ni halali lakini huenda hayawekwi hadharani kwa kuwa kijamii ni haramu
Mkuu propaganda zimekuharibu, tangu lini uislam umeruhusu mauaji tena msikitini?, tatizo lenu mnachuki dhidi ya uislam ndio kila baya mnahusisha na uislam
 
Kama hutapandisha mashetani ya bwana mohamed, jamaa mwenye maovu mengi na uwongo wa kijinga, ambaye wafuasi wake badala ya kujadili ukweli, hukimbilia mapanga na matusi ili wasieleweshwe ukweli, naomba tujadili. "Uislam ni kitu gani?"
Wewe ni mtu wakuhurumiwa huyo unaemtukana hakujui na hana shida na wewe, pia tuambie nani aliwahi kukupiiga panga au ndio propaganda zenyewe zimekuingia
 
Back
Top Bottom