Nifunguen! Tunapendana bila kujuana!

mutahappy

JF-Expert Member
Dec 30, 2012
529
188
Heshima yenu wakuu.
Mimi ni mvulana ambae nimekuwa katika uhusiano wa kimapenz na mdada ambae hanikumbuki.

Wakat tukiwa secondar IV 2005 Huyu bint alikuwa form I shule hiyo hiyo.nilipo muona nilitokea kumpenda sana lakin sikuweza kumweleza sababu alikuwa anaogopa sana.alitoa mda wa salamu huku akiwa kaangalia chin na ukianzisha mada nyingine aliondoka na ulipokuwa ukijifanya king'ang'aniz ulikuwa unashtukia kwa mwl wa nidhamu kujieleza.

Niliendelea kumpenda na kutafuta mawasiliano yake bila mafanikio had nikakata tamaa.na tangia hapo hatuja wah kuonana had leo.

Kwa sasa nina miez mitatu tangu nimepata namba yake na kuamua kufunguka kuwa nampenda.kanikubal na ana mapenz makal sana kwangu japo kasema hanikumbuki.
Hatuja onana kwan tupo mikoa tofaut kimasomo.
Mawasiliano yapo very hot na mashamsham kibao.kiukwel mi ndo cjielew juu yake.

Jaman nifunguen macho ni kwel naweza pendwa kias hicho na mtu asiye nikumbuka? Au nazugwa tu mwishowe nijifie na penz juu yake shingon?

Nawasilisha!
 
Nadhani majibu ya swali lako umesha yaeleza hapa chini.
Kwa sasa nina miez mitatu tangu nimepata namba yake na kuamua kufunguka kuwa nampenda.kanikubal na ana mapenz makal sana kwangu japo kasema hanikumbuki.
Hivi miaka 8 yote atakuwa alikua anakusubiri wewe tu? Kama hautamkuta ana watoto 6 ni bahati!!!!
Huenda ukamkuta ameolewa au alisha achika zamani.

BTW fanya mpango mkutane ana kwa ana huenda ukakuta unawasiliana na bibi yake ukadhani ni yeye.
 
Ndugu yangu SAUDAR.
Huyu bint ni kwel hajaolewa nimefanya utafit wa kutosha had kwa dada yake ambae tumesoma wote darasa moja.kwa sasa hupo chuo.
 
Nadhani majibu ya swali lako umesha yaeleza hapa chini.

Hivi miaka 8 yote atakuwa alikua anakusubiri wewe tu? Kama hautamkuta ana watoto 6 ni bahati!!!!
Huenda ukamkuta ameolewa au alisha achika zamani.

BTW fanya mpango mkutane ana kwa ana huenda ukakuta unawasiliana na bibi yake ukadhani ni yeye.
Hahahahahaha huh sasa wewe unamtisha mwenzako lol.
 
Jitahidi kumfuatilia kwa karibu ili uonane nae maana hapo bado hamjaanza kupendana kwani yeye hakukumbuki. Isipokua anakufeel tu , sasa huenda atakapokuona atakata tamaa kabisa , huenda upo kinyume na anavyoimagine. Sasa kama anahisi wewe ni bonge la mtu na akauta mtu wa kawaida itamdiscourage and vice versa. Mkisha onana hapo ndipo mtaianza safari ya mapenzi taratibu. Remember love is a two way traffic
 
Itakula kwako angalia ucje kuzama parcee halafu ukajikuta unaumwa kale kaugonjwa kasikochagua umri wala uzoefu wa mtu! Ukatamani kukatisha maisha yako kanaitwa BROKEN heart
 
Hako kanazimika flag kwa sababu ushakaambia kuwa uko chuo na ushakapiga swaga za boom, ushakatumia vocha na mkwanja wako wa boom, ushakanunulia simu nzuri na kana Sms za mpesa kibao kutoka kwako. Dude, run!!!
 
Jitahidi kumfuatilia kwa karibu ili uonane nae maana hapo bado hamjaanza kupendana kwani yeye hakukumbuki. Isipokua anakufeel tu , sasa huenda atakapokuona atakata tamaa kabisa , huenda upo kinyume na anavyoimagine. Sasa kama anahisi wewe ni bonge la mtu na akauta mtu wa kawaida itamdiscourage and vice versa. Mkisha onana hapo ndipo mtaianza safari ya mapenzi taratibu. Remember love is a two way traffic
you are very very right mydia
 
Oh boy...!

Kwahiyo mkiwasiliana mnaongea nini kwa mfano?

Wewe huna tofauti na watu wanaofall in love na avatar huku!!!
 
Hahahahahaha huh sasa wewe unamtisha mwenzako lol.
Sasa Ablessed mimi na wewe nni anamkatisha tamaa?
Jitahidi kumfuatilia kwa karibu ili uonane nae maana hapo bado hamjaanza kupendana kwani yeye hakukumbuki. Isipokua anakufeel tu , sasa huenda atakapokuona atakata tamaa kabisa , huenda upo kinyume na anavyoimagine. Sasa kama anahisi wewe ni bonge la mtu na akauta mtu wa kawaida itamdiscourage and vice versa. Mkisha onana hapo ndipo mtaianza safari ya mapenzi taratibu. Remember love is a two way traffic
Ndo maana na mimi nikamwambia waonanenae ili kila mmoja ajue mabadiliko ya mwenzake ila kwakusema waemdelee na mapenzi ya kwenye simu hatutakawia kusikia akisema wameshafunga ndoa kwa njia ya simu.
 
Last edited by a moderator:
panga tu kasafari ukaonane naye. huo ni wajibu wako
na ndo maana ukawa mwanaume.
 
Acha kujidanganya hakuna mapenzi ya aina hiyo haswa kwa watanzania, ebu jenga picha kuwa hupendi kabisa wanawake wanene na yeye alikuwa mwembaba but ndani ya miaka nane amezaa na amekuwa mnene saaana utafanyaje?? au kama kajikoboa ana adonda usoni na miguuni je?? acha ujinga wa kupenda usichoona wewe!!!
 
Back
Top Bottom