Heshima yenu wakuu.
Mimi ni mvulana ambae nimekuwa katika uhusiano wa kimapenz na mdada ambae hanikumbuki.
Wakat tukiwa secondar IV 2005 Huyu bint alikuwa form I shule hiyo hiyo.nilipo muona nilitokea kumpenda sana lakin sikuweza kumweleza sababu alikuwa anaogopa sana.alitoa mda wa salamu huku akiwa kaangalia chin na ukianzisha mada nyingine aliondoka na ulipokuwa ukijifanya king'ang'aniz ulikuwa unashtukia kwa mwl wa nidhamu kujieleza.
Niliendelea kumpenda na kutafuta mawasiliano yake bila mafanikio had nikakata tamaa.na tangia hapo hatuja wah kuonana had leo.
Kwa sasa nina miez mitatu tangu nimepata namba yake na kuamua kufunguka kuwa nampenda.kanikubal na ana mapenz makal sana kwangu japo kasema hanikumbuki.
Hatuja onana kwan tupo mikoa tofaut kimasomo.
Mawasiliano yapo very hot na mashamsham kibao.kiukwel mi ndo cjielew juu yake.
Jaman nifunguen macho ni kwel naweza pendwa kias hicho na mtu asiye nikumbuka? Au nazugwa tu mwishowe nijifie na penz juu yake shingon?
Nawasilisha!