Nifundwe namna ya kutumia private message nawatext madem ni nawakubalii

Ocean road

JF-Expert Member
Jul 15, 2017
631
304
Mtu anielekeze unatumiaje private message ili niwe nawatumia madem ni nawakubalii humu jf

Wa kishua
 
Attachments

  • tapatalk_1501353203041.jpeg
    tapatalk_1501353203041.jpeg
    8.7 KB · Views: 58
Fanya hivi
Weka hiki kialama @afu weka jina la demu unayetaka kumuandikia .
Andika hio meseji inakuwa imemfikia ila sheria za JF unaweka na namba yako watakupigia wengi sana.
Ukiweka picha yako ndio kabisa utawakbia wapo wengi sana wanatafuta watu.
 
Oyaa mzee Baba sijakusoma fresh

Wa kishua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom