Kelela
Senior Member
- Nov 7, 2020
- 186
- 269
Nina project yangu ambayo natarajia kuianza January 2021.
Katika project hiyo nitataka wateja waweze kunilipa kupitia TIGOPESA, MPESA NA AIRTELMONEY online. Yaani anaweka namba yake na password pesa inakatwa automatically kama vile ukilipia tangazo Kupatana.
Naomba kujua nifuate hatua zipi ili niweze kufanikisha hilo? Ahsanteni