Nifikishieni ujumbe gazeti la tanzania daima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nifikishieni ujumbe gazeti la tanzania daima

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mtaka Haki, Oct 21, 2010.

 1. M

  Mtaka Haki JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2010
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 492
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa nje ya nchi na namna ya kufuatilia habari zinazoendelea imekuwa ni hapa kwenye jf na kupitia magazeti kwenye mitandao.
  Nimesikitika kuwa gazeti hili ambalo linaandika vizuri sana habari za kampeni za chadema kwenye mtandao linakuwa liko toleo la nyuma sana.

  Gazeti la tanzania daima linamilikiwa na kiongozi wa upinzani. Huu ungekuwa ni wakati wake wa kwenda na wakati kwa kufanya lipatikane mara likitoka kwenye mtandao kama wanavyofanya gazeti la mwananchi.
   
 2. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Bwa ha ha ha ha
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,274
  Likes Received: 19,420
  Trophy Points: 280
  ungeweka picha hapa mkuu ningefurahi manake wewe ni mkali kwenye ujumbe wa picha
   
 4. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Nitampa picha hapa chini muda si mrefu
   
 5. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Wharrrabout this one
   
 6. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  This one inamfaaa kabisaaa:

  [​IMG]
   
 7. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hii ya kichaka (bush) kwenye simu itamfaaa zaidi:

  [​IMG]
   
 8. coby

  coby JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2010
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 342
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Basi hapo watakua wamekuelewa mwafrika, ukiendelea utakua umewaonea aka matumizi ya nguvu kupita kiasi
   
 9. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Nimeachana naye huyo ... kishapata message
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Anapendelea zaidi kama hii!
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 12. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #12
  Oct 22, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kweli mkuuu yani week nzima kuna taarifa ya "slaa amvaa jk" peke yake au wameshindwa kulipia domain?
   
Loading...