Nifanyeje? nna idea ya kipindi cha tv bt sijui nianzie wapi..!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nifanyeje? nna idea ya kipindi cha tv bt sijui nianzie wapi..!!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ibrahim K. Chiki, Apr 8, 2011.

 1. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mimi ni kijana wa miaka 21, a graduate in bachelor ov masscoommunication, nina idea ya kipindi cha tv, bt sijui pa kuanzia ili kufanikisha! some1 wit an idea?? help.
   
 2. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Kwa kuwa huna mtaji wa kuanzisha TV yako, tafuta ajira kwa TV zetu nchini. Angalia kwenye tovuti zao pale palipo na "Wasiliana nasi/Contact us".
   
 3. Quinty

  Quinty JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 463
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ni rahisi andaa script then nenda kwa vituo vya TV kuwauzia au kama unaweza andaa kipindi chako vizuri kwa gharama zako then uende kuuza kwenye vituo vya tv.
   
 4. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,078
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Kwanza kabisa jaribu kutafuta "patent attorney" ili akupe ushauri
  wa kuilinda hiyo idea yako kwabla hata ya kwenda kuwauzia wenye
  televisheni.
   
 5. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Kijana habari yako??? pliz PM mimi mzee wa production tulisongeshe sawa hilo dill!
   
 6. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  Hee, wewe nawe ndo nini kuingia dogo na mikwara mizito hivyo?
   
 7. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #7
  Apr 10, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Hakuna cha mikwara hapa! Hunijui sikujui. Hujui business na kazi ninazofanya na mafanikio yangu hata katika fani hiyo so why kudharau mtu?? Respect yourself!
   
Loading...