Nifanyeje nizoeane na majirani?

Hayo maisha ya kuishi kivyako vyako ni mazuri kama unaish nyumba za kupanga kwasabab hutaishi hapo muda mrefu...
Ila ukihamia ktk nyumba yako vijana wenzangu make sure unaenda kumsalimia na kumjua m/kiti wa mtaa au kiongoz yoyote wa mtaa...
Make sure unasalimia watu njian,shusha vioo vya gari salimia watu, angalau mara 2 kwa wiki nenda nunua vitu ktk maduka ya mtaani au vigenge vya mtaani, huko ndipo kuna watu na taarifa nyingi...

Ukihamia ktk nyumba yako make sure jirani yako wa kulia kushoto mbele nyuma unaenda kuwasalimia kwamba nimehamia karibuni kwangu wenyeji wangu...

Ukweli ni kwamba watu wengi tunaish maisha ya kivyetu vyetu mitaani ila ukweli halisi hatupendi hayo maisha, tunapenda kufahamiana na kubadirishana mawazo...

Jifanye kauzu then likupate tatzo ndio utajua umuhim wa kujuana na majirani na viongoz wa mtaa...
 
Tangu nimehamia hapa mtaani ni takribani mwaka sasa umekatika. Mtaa ninaoishi ni nje kidogo ya mji ambapo watu wamejenga nyumba zao wamezungusha fensi na mageti. Pia wengi (pamoja na mimi) ni wafanyakazi ambapo mara nyingi ni watu wa kutoka asubuhi na kirudi jioni wakiwa ndani ya magari yao.
Anzisha group la WhatsApp la mtaa unapita kila nyumba unawaunga
 
Ukweli ni kwamba watu wengi tunaish maisha ya kivyetu vyetu mitaani ila ukweli halisi hatupendi hayo maisha, tunapenda kufahamiana na kubadirishana mawazo...
Jifanye kauzu then likupate tatzo ndio utajua umuhim wa kujuana na majirani na viongoz wa mtaa...
Bila shaka huwajui watu vizuri siku ukiwajua utakuja kufuta ulichoandika.
Hasa ukikutana na waswahili.

Na sio kweli kwamba watu hawapendi kuishi maisha ya kivyao.
Watu wanatofautiana na kuna wengine watakuona kero kuingilia maisha yao.

Matatizo yapo na yataendelea kuwepo na huwezi kuyakimbia kwa kutafuta majirani.
 
Jenga nyumba yako mkuu hicho ni kitambulisho tosha mtaa mzima utafahamika uwe na familia mke na watoto, unless ukaishi uswahilini utafamika tu.
 
Bila shaka huwajui watu vizuri siku ukiwajua utakuja kufuta ulichoandika.
Hasa ukikutana na waswahili.

Na sio kweli kwamba watu hawapendi kuishi maisha ya kivyao.
Watu wanatofautiana na kuna wengine watakuona kero kuingilia maisha yao.

Matatizo yapo na yataendelea kuwepo na huwezi kuyakimbia kwa kutafuta majirani.
Nimeandika kiswahili chepesi sana ila umeshindwa kuelewa.
 
Yes muhimu hata siku moja moja aende kununua nyanya za mfungu au kilo ya mchele au unga kuonyesha kuwapa support....Kuishi maisha wanayoishi wao ili wawe wamoja kusiwe na gap kubwa kimtaani.

Huu ushauri nimeanza kuufanyia kazi na naona mafanikio yanaanza kujitokeza. Juzi jioni nilienda kwenye kaduka ka hapa mtaani kutafuta dawa ya mbu na vitu vidogovidogo. Pamoja na kununua mahitaji hayo, pia niligundua kabinti kanakouza hapo ni "mali safi" balaa.. Ili kuendeleza ujirani mwema nikaona sio mbaya kuchukua namba 😊
 
Mi napenda sana kujitenga sema ni vile maisha yananilazimisha kuchangamana.Make kama External imejaa movie na series naeza nsitoke ndani kabisa mtu akadhani nimesafiri.Uzuri najuwa kupika misosi yote.
 
Huna watoto..maana watoto pia ni chanzo kizur Cha mahusiano wakiwa nje na wenzao au kuwakaribisha kwako kuna Leta uhusiano mwema
 
Huna watoto..maana watoto pia ni chanzo kizur Cha mahusiano wakiwa nje na wenzao au kuwakaribisha kwako kuna Leta uhusiano mwema
Watoto bado wadogo hawajaanza kutoka kwenda kucheza
 
Back
Top Bottom