Nifanyeje nisilione hili neno

Decision

Member
May 6, 2020
36
36
Ili neno COVID moja tisa sasa kwangu limekuwa chukizo na kunikatisha tamaa ya maisha kutokana na taarifa mbali mbali ninazoziona mitandaoni kuna mitandao naipenda lakini kila nikiingia saizi ni taarifa za covid tu hasa ninaposoma mambo ya dawa ambazo zinatangazwa tangazwa ovyo bila uthibitisho ivi kwanini wasiache kutangaza tangaza dawa na badala yake kusubiri dawa ambayo itakuwa proved kabisa kama ndo tiba sahihi ya corona kama zilivyo dawa nyingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpendwa Mteja, tunakusihi endelea kujifunza na kufuata maelekezo ya Wataalam kuhusu namna ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya #CORONAVIRUS. Aidha, tunakushauri kuepuka kusikiliza taarifa zisizo sahihi kutoka vyanzo visivyoaminika
 
Ili neno COVID moja tisa sasa kwangu limekuwa chukizo na kunikatisha tamaa ya maisha kutokana na taarifa mbali mbali ninazoziona mitandaoni kuna mitandao naipenda lakini kila nikiingia saizi ni taarifa za covid tu hasa ninaposoma mambo ya dawa ambazo zinatangazwa tangazwa ovyo bila uthibitisho ivi kwanini wasiache kutangaza tangaza dawa na badala yake kusubiri dawa ambayo itakuwa proved kabisa kama ndo tiba sahihi ya corona kama zilivyo dawa nyingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu yupo kwenye juhudi za kupata dawa ya COVID19 kuna baadhi wameshapata ndiyo maana wanatangaza. Tuliza munkari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom