Nifanyeje nipate interest ya kumsikiliza raisi wangu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nifanyeje nipate interest ya kumsikiliza raisi wangu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tuko, Nov 18, 2011.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Leo anaongea na wazee wa Dar, lakini TV zitaonyesha ili watu wasikie na waone. Tatizo mi sina interest ya kumsikia , yani hata nikijilazimisha. Hili nahisi ni tatizo sasa...
   
 2. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kunywa haramu (bia) tano utaona anaongea busara!
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Fatilia thru jei-eFu,my first electronic media
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ataskia sauti au kuona image,ila K0NTENTS NO0O0O0O
   
 5. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Anazungumza muda gani kwani?
   
 6. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #6
  Nov 18, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Sidhani. Maana nikishapiga hizo kila anaeongea kiswahili naona kama hana akili...
   
 7. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #7
  Nov 18, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  walisema leo jioni...
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Nov 18, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Muda mfup ujao
   
 9. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #9
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Serious hili tatizo hata mimi limenikumba nakumbuka enzi za Mkapa nilikuwa sikosi hotuba zake, maana japo ni mwanasiasa lakini hotuba zake nyingi zilikuwa za kisayansi, lakini huyu mwenzangu na mimi mpaka najisikia kinyaa.
   
 10. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #10
  Nov 18, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Nawahurumia sana hao wazee 'watakaolazimika' kukaa mbele yake kwa muda wote atakaokuwa anaongea...
   
 11. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #11
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Unataka kumsikiliza au kusikia akiongea??
  kama unataka kusikia akiongea tafadhali kunywa bia angalao 3, kama unataka kumsikiliza,
  tafadhali muone daktari wa vichaa, atakupa dawa ya kukuwezesha kumsikiliza
   
 12. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #12
  Nov 18, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  hii hotuba ni kichama au ya serikali
   
 13. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #13
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Lol!
  Well said
   
 14. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #14
  Nov 18, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,674
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Nilidhani tatizo hili ni langu tu, kumbe tupo wengi.
  OK, fine. Mi naenda kwanza kutafuta mkate kwa ajili ya wana'ngu, nikirudi najua atakuwa amemaliza porojo zake.
  See you later.
   
 15. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #15
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,186
  Trophy Points: 280
  Najaribu kumsikiliza muuza sura. Ameomba asisimame, anaogopa kuangushwa jukwaani na wazee
   
 16. geofreyt

  geofreyt Member

  #16
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani ni kuungana nae kunywa gahawa!!
   
 17. Whisper

  Whisper JF-Expert Member

  #17
  Nov 18, 2011
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 502
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Pata "Msuba" utaona sura yake na hotuba vinafanana na Nyerere. Hakika hutaishiwa hamu..
   
 18. il dire

  il dire Member

  #18
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  dah si mchezo bila yale maji ya Ilala kumsikliliza mjomba ishu yaani yupo kma anapiga mipasho kijiweni ni ful stori utafikiri babu anawapigia stori wajukuu zake.
   
 19. K

  KAPONGO JF-Expert Member

  #19
  Nov 18, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,374
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Kweli hilo ni tatizo...inaelekea hulka yako ni ya kimwinyi au kifalme- Haipendi demokrasia ya kuvumilia mawazo yanayokinzana na hisia zako...Unataka unachokiwaza wewe tu ndilo hoja na za wengine zinazokinzana ni utumbo...Demokrasia ni kutoa maoni yako na kusikia ya wenzako!
   
 20. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #20
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,036
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  namuhangalia kupitia tbc1 hapa ni mipasho tu hana jipya ni kama wabunge wake
   
Loading...