Sikwepeshi
Senior Member
- Jan 26, 2012
- 162
- 18
Habarini ndugu wanajf,tatizo hili sio langu ila la rafiki yangu.Nimelileta apa maana naamini ni mahali anapoweza kupata ushauri.Mwaka 2010 mwanzoni kuna binti nilimpa ujauzito,naweza sema ni bahati mbaya sababu sikuwa na mpango wowote wa kumuoa au kuzaa naye,alijifungua mtt wa kike ambaye kwa kweli matunzo ya mtt nayafanya vyema,tangu hapo niliacha mahusiano ya kimapenzi na huyo binti.Mwisho wa mwaka huo nilimpata mwenzi ambaye moyo wangu umeridhia kuwa naye maishani,nimempeleka kwa wazazi wangu na kwao nimeenda pia,wiki 2 zijazo naenda kulipa mahari ili nimuoa.
kinachonitatiza ni kuwa binti niliyezaa naye pamoja na ndugu zake ni wakorofi mno na wanamtafuta mke wangu mtarajiwa ili wamdhuru,sababu za kiusalama nilihama nilipokuwa nakaa mwanzo na kuamia sehemu nyingine,mke wangu mtarajiwa hajui chochote kinachoendelea naogopa kumwambia asije niacha maana nampenda sana,mwanzo wa mahusiano yangu na yeye alinisisitiza nimpe historia yangu na mara nyingi alikuwa akisema hataki kabsa kuolewa na mwanaume aliyezaa na mytu mwingine,sababu hataki usumbufu,sijawah mwambia ata ndugu yangu yeyote kama nina mtt,mtarajiwa wangu huyu ana presha na kwa sasa anaujauzito wa miezi 2,nitamwambia vipi swala hili na nataka kufunga ndoa mwaka huu,lini ni wakati muafaka wa kumueleza? nimprotect vipi na yule mwanamke mwingine? kwa kweli she is decent and honest kiac kwamba sijui nianze wapi kumwambia,kila nikimtazama napatwa na uchungu kuwa nimemkosea sana.
Ninachoogopa mtarajiwa huyu yuko vizuri sana kwenye inteligensia,kuna maswali ananiuliza hadi napata waswas kuwa anajua kitu,kuna kipindi mtt anakuwa mgonjwa na naenda kumchek bila yeye kujua,ila nikirudi nyumbani ananiuliza mgonjwa anaendeleaje? na kesho yake ananisisitiza sana nikamchek mgonjwa,huwa nampotezea kwa kuona kama nachukulia utani ila kiukweli najiuliza sana.siku nyingine halali usiku kucha analia tu ila haniambii kwa nini analia,zaid ya kuniambia kunamistake imetokea ktk maisha yake ila anamwachia mungu.
Nimwambie? lini? nimprotect vipi? vipi Kuhusu pingamizi la ndoa likitokea?