Nifanyeje jamani kwa haya matokeo

mwita burure

Senior Member
Jul 8, 2016
192
39
Habari wana jf nimehitimu kidato cha nne mwaka Jana na ufaulu wangu upo hivi DIV III 25 CIV D HIST D KISW C ENG C CHEM C PHYS D BIOS D GEO D B/MATH D je second selection lakini sizani kama ntachukuliwa pia nawaza kwenda private lakini nilitamani sana kusoma sayansi nifanyeje coz nacte wanaweza wasinichukue japo niliomba diploma in primary education ushauri pliz
 
dogo achana na hiyo diploma in primary education utapoteza muda bure.
wakitoa maombi chagua kozi ya afya ngazi ya certificate CLINICAL MEDICINE
 
Habari wana jf nimehitimu kidato cha nne mwaka Jana na ufaulu wangu upo hivi DIV III 25 CIV D HIST D KISW C ENG C CHEM C PHYS D BIOS D GEO D B/MATH D je second selection lakini sizani kama ntachukuliwa pia nawaza kwenda private lakini nilitamani sana kusoma sayansi nifanyeje coz nacte wanaweza wasinichukue japo niliomba diploma in primary education ushauri pliz
Kama unapenda coz za afya na uwezo upo better uombe vyuo vya afya uanzie hapo!
 
Kwa nini usitafute shamba ulime matikiti maji kwani nyumbani ni wapi dogo?
 
Njoo ZNZ km uwezo wa chuo mdogo kiroho safi advance unaenda HKL, HGK au hata CBG na PCM wanachkua hata CDD ilimrad upo advance
 
Kk ndo ipo wapi hiyo
Wewe acha kupoteza muda nenda kasome clinical officer coz advance c rahisi now grades zipo juu Sanaa Na ni westage of time really I tell you
Habari wana jf nimehitimu kidato cha nne mwaka Jana na ufaulu wangu upo hivi DIV III 25 CIV D HIST D KISW C ENG C CHEM C PHYS D BIOS D GEO D B/MATH D je second selection lakini sizani kama ntachukuliwa pia nawaza kwenda private lakini nilitamani sana kusoma sayansi nifanyeje coz nacte wanaweza wasinichukue japo niliomba diploma in primary education ushauri pliz
 
Habari wana jf nimehitimu kidato cha nne mwaka Jana na ufaulu wangu upo hivi DIV III 25 CIV D HIST D KISW C ENG C CHEM C PHYS D BIOS D GEO D B/MATH D je second selection lakini sizani kama ntachukuliwa pia nawaza kwenda private lakini nilitamani sana kusoma sayansi nifanyeje coz nacte wanaweza wasinichukue japo niliomba diploma in primary education ushauri pliz
Unaweza ukasoma advance so kama unayo nia kuendelea na masomo basi Unaweza ukanicheki 0656415981,nitakusaidia bila Shaka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom