Nifanyeje ili niweze kupata pesa ya kuanzishia biashara?

Asante umenifungua akili kidogo. Kuna watu ni wajasiriamali lakini elimu ya kupat huo mtaji ndo issue, tunahitaji elimu kama hii uliyonipa na zaidi. Asante ubaririkiwe!
Sawa mkuu demi jaribu kupambana kwa hali na mali natumia akili yako yote na nguvu zako utapata matamanio yako.Usife moyo kwa kukatishwa tamaa na watu,kipindi u naanza wapo watakao kuona unatania au unacheza lakini Mungu siku zote hamtupi mpambanaji.

Hata kama unakidogo kikuze hichohicho nakukiwekea malengo.Pia kama unahisi kuwa peke yako huwezi tafuta mtu mfungue biashara hata ndogo then muweke malengo ya pamoja(ingawa kushirikiana na mtu napo kuna athari zake).
 
Asante mkuu. Naahidi kuufanyia kazi ushauri wako.
 
Habari mwanaJF natumaini umzima wa afya njema kabisa.

Leo napenda kuomba ushauri wako kuhusu biashara yangu niliyopanga kuianzisha hapo baadae, kiukweli wazo langu la biashara ni zuri sana ni itakuwa biashara ya kudumu endapo nitafanikiwa kuianzisha.

Kwaleo naomba ushauri wako maana najua wewe ni mmja ya wapambanaji kama Mimi. Mimi nimefanikiwa kuanzisha wazo la biashara kama hatua ya kwanza kabisa, lakini sasa nimeshindwa kuianzisha hii biashara kwa changamoto kubwa hasa ya swala zima la pesa. Yaani sina pesa ya kufanikisha kutekeleza wazo langu la biashara, hivyo naomba ushauri wako nifanyeje ili niweze kupata pesa, kukopa siwezi maana sina dhamana yoyote.
Nawasilisha.
Nitafute PM nikupe fursa
 
demi mtu ambae hawezi kutafuta mtaji huyo sio mjasiliamali.Mjaliamali ni mtu ambae hata ukimpa laki moja or elfu hamsini anaweza kuikuza nakuipeleka kwenye main project aliyokusudia.Mimi kipindi naanza ujasiliamali nilianza na laki tatu na elfu 52,nikadunduliza ilipofika laki sita na 70,nikabadili aina ya biashara,nilipigana kwa jasho na damu kupambana na changamoto lakini mpaka kufikia leo mtaji wa million mbili/Tatu kwangu sio tatizo na nafanya hayo yote nikiwa bado shule.

Ukisubili watu wakupe au wakuwezeshe mtaji basi wewe utakufa na ndoto zako,binadamu wenye uwezo wakusaidia watu mtaji niwachache sana na nadra kuwapata.Jambo la msingi nikujikomiti kwa kukuza kidogo ulichonacho kiwe kikubwa,Ukishakuza mtaji watu wenyewe watakuja kuomba mshilikiane nao.

Mfano mimi kuna project naifanya itaghalimu kama 5.3M na bado kama asilimia 10 ikamilike.Lakini kuna watu kadhaa wamekuja kuniomba tuunganishe nao nguvu nikakataa.Lakini pia yupo mmoja alitaka anipe 10.5M nimuachie project yangu yote nikakataa(ingawa bado haijaisha).Kwa sababu najua ndani ya miezi minne mpaka sita fedha yangu yote itakuwa imesharudi nantaanza kupata faida nzuri tu.

Kwahiyo mkuu juhudi na jitihada zako inabidi zionekane kwa kukuza kidogo kilichopo ili kiwe kikubwa

Na huu ndo USHAURI MAKINI.na unahitajika moyo na uthubutu kweli kweli

Tatizo watu wanashindwa kujua kwamba ni lazima uanze na stage ya kwanza ni KUANZIA HAPO ULIPO.Hapa duniani kila mtu anandoto ya kufanikiwa tatizo ndo hili la UTHUBUTU HASWAA. Jamaa ilibidi aanze kuikuza hiyo laki na 50 adi hiyo anayohitaji ndo atakua na UCHUNGU wa hela.Sasa ukipata hela kwa njia rahisi hata kuzipoteza hutajali kiviile.Huu ndo ushauri

big up
 
Kwa mimi nakushauri upitie orodha ya marafiki zako wote walipo katika simu yako sijui unao wangap, kidogo na ndugu mnao patana.

Kila mmoja muombe buku tu la vocha akikisha hasipo kupa Leo akupe kesho la sivyo mfute kabisa katika contact zako siyo rafiki mzur huyo.

Tunza kila buku au jero utakayo pewa for a month utakuwa tayar umepata mtaji.

Ila kama utataka Wa kuanzia milioni kwa usawa huu Wa magu , ndugu nisiwe muongo utaridhiswa tu kwa maneno.

Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app
 
Yah watu watakopi aiseee ila kama una nafasi ya kumsaidia ni vema ukamfuata chemba mkapiga stories huko.
Mfano mi nina wazo zuri sana nashindwa kulifanikisha tatizo ni pesa ya mtaji. Ni kiasi cha 470,000/= tu nahitaji. Pia kwa kuanza nimeuza simu yangu 150,000/=
Na nilijaribu kuuza kiwanja lakin nilikosa wateja hii yote maana yake tayar nmeanza hatua ya kutafuta pesa hiyo
Ziko shughuli za kufanya ukapata hela nzuri tu. Jaribu kuuza taarifa yaani kuwa mtu wa kati kufanikisha biashara za watu. Mfano wapo watu aanachimba gemstone lkn soko la gemstone si imara kama la dhahabu so ukimtafutia mtu soko atakulipa kamisheni utafanya mambo yako. Kadhalika wazo la kuuza taarifa unaweza kulifanyia kwenye bidhaa yeyote hata mahindi

Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
 
Yah watu watakopi aiseee ila kama una nafasi ya kumsaidia ni vema ukamfuata chemba mkapiga stories huko.
Mfano mi nina wazo zuri sana nashindwa kulifanikisha tatizo ni pesa ya mtaji. Ni kiasi cha 470,000/= tu nahitaji. Pia kwa kuanza nimeuza simu yangu 150,000/=
Na nilijaribu kuuza kiwanja lakin nilikosa wateja hii yote maana yake tayar nmeanza hatua ya kutafuta pesa hiyo
Urijaribu kuuza kiwanja unashindwa anyway labda hakipo mjini
 
demi mtu ambae hawezi kutafuta mtaji huyo sio mjasiliamali.Mjaliamali ni mtu ambae hata ukimpa laki moja or elfu hamsini anaweza kuikuza nakuipeleka kwenye main project aliyokusudia.Mimi kipindi naanza ujasiliamali nilianza na laki tatu na elfu 52,nikadunduliza ilipofika laki sita na 70,nikabadili aina ya biashara,nilipigana kwa jasho na damu kupambana na changamoto lakini mpaka kufikia leo mtaji wa million mbili/Tatu kwangu sio tatizo na nafanya hayo yote nikiwa bado shule.

Ukisubili watu wakupe au wakuwezeshe mtaji basi wewe utakufa na ndoto zako,binadamu wenye uwezo wakusaidia watu mtaji niwachache sana na nadra kuwapata.Jambo la msingi nikujikomiti kwa kukuza kidogo ulichonacho kiwe kikubwa,Ukishakuza mtaji watu wenyewe watakuja kuomba mshilikiane nao.

Mfano mimi kuna project naifanya itaghalimu kama 5.3M na bado kama asilimia 10 ikamilike.Lakini kuna watu kadhaa wamekuja kuniomba tuunganishe nao nguvu nikakataa.Lakini pia yupo mmoja alitaka anipe 10.5M nimuachie project yangu yote nikakataa(ingawa bado haijaisha).Kwa sababu najua ndani ya miezi minne mpaka sita fedha yangu yote itakuwa imesharudi nantaanza kupata faida nzuri tu.

Kwahiyo mkuu juhudi na jitihada zako inabidi zionekane kwa kukuza kidogo kilichopo ili kiwe kikubwa
Umeongea point sana, lakini jiandae kupingwa na kua crashed na ukweli ulio ongea
 
Yah watu watakopi aiseee ila kama una nafasi ya kumsaidia ni vema ukamfuata chemba mkapiga stories huko.
Mfano mi nina wazo zuri sana nashindwa kulifanikisha tatizo ni pesa ya mtaji. Ni kiasi cha 470,000/= tu nahitaji. Pia kwa kuanza nimeuza simu yangu 150,000/=
Na nilijaribu kuuza kiwanja lakin nilikosa wateja hii yote maana yake tayar nmeanza hatua ya kutafuta pesa hiyo
Usiogope watu ku-copy, TZ ina watu zaidi ya Milion 40. Wote hawa ni wateja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom