Nifanyeje ili niwe na uwezo mkubwa wa kufikiri?

Kweli kula vyakula vya asili sana, ila jitahidi sana kusoma, soma magazeti ya kila aina huku ukichambua kichwani ni vipi ulicho kisoma kiana fanana na jammbo fulani halisi au la kufikirika na ni vipi kila unacho kisoma kina weza kumsaidia au kumbomoa mwanadamu....Pia jitahidi sana kuwa na akili huru usiwe mfungwa wa vitu fulani hasa watu au vitu, kuwa mtumwa wa hoja, falsafa, na tafakari mbalimbali za watu wenye upeo mkubwa Kama JK Nyerere kuwa mtumwa wa baadhi ya falsafa zao sio kushika kifimbo au kuiga sauti yake!
 
Pendelea kula dona, pia kula ufuta uliokaangwa kidogo angalau vijiko viwili vikubwa kila siku usiwe mtu wakukaa ovyo bila kufanya chochote, jishughulishe hata shughuli ndogondogo za hapo nyumbani na fanya mazoezi ya viungo kadri uwezavyo huwa yanaupa ubongo afya na uwezu wa kutunza kumbukumbu. soma vitabu, magazeti na majarida mbalimbali kila siku ila uwe unachagua ambayo yanaelimisha jamii sio ya udaku wala ngono. Kuwa na marafiki ambao wanauwezo mkubwa wa kifikra kuliko wewe ambao wanaweza kukushauri mambo mbalimbali na wewe utaweza kujifunza kutoka kwao.
 
MY LOVE
 
Nimekua nikisikia kuwa watu waliosoma sana ndio wenye uwezo mkubwa wa kufikiri. Je mimi ambaye nimekomea darasa la saba, nifanyeje ili niboreshe uwezo wangu wa kufikiri ilihali sina uwezo wa kuendelea na masomo zaidi ya hapo?

1.jishughulishe na mambo ya kufikirisha!
2.tumia muda wako mwingi na watu walio kuzidi uwezo kifikra!
3.acha kujishughulisha na mambo ya kipuuzipuuzi!
 
Hakikisha unapitia kila siku JF jukwaa la Critical thinker na pia jiunge na CHADEMA. Kwa kufanya hivyo baada ya muda tu utaambukizwa uwezo mkubwa wa kufikiri.
Mimi nilijaribu hivyo na nikafanikiwa.

asiipende ccm hata kwa kusikia, awe tayari kufa kwa ajili ya cdm, km hana kadi ya cdm akaichukue, nimefanya hivyo na nimefanikiwa!
 
Nimekua nikisikia kuwa watu waliosoma sana ndio wenye uwezo mkubwa wa kufikiri. Je mimi ambaye nimekomea darasa la saba, nifanyeje ili niboreshe uwezo wangu wa kufikiri ilihali sina uwezo wa kuendelea na masomo zaidi ya hapo?

Chukua dictionary pamoja na vitabu vingine vya maarifa mbalimbali ( kama physics , biology , philosophy etc) kulingana na eneo unalotaka kuongeza maarifa. Chukua sufuria kubwa ( kama huna azima) chemsha pamoja dakika tatu then weka mbilimbi au ndimu na tokosa pamoja kwa dakika 15. Kunywa maji yake angalau nusu lita kwa siku muda wa miezi mitatu mpaka minne. Ukitaka kuwa genious kunywa mchnaganyiko huo kwa muda wa mwaka mzima......Mimi nilifanya hivyo sasahivi ni Professor Mlimani............
 
jifunze kwanza kiingereza ili uweze kusoma vitabu vyenye maarifa..
pia
Mkubwa naomba nikuunganishe na hawa watu wakupe mambo.. EMT, Pasco, Kiranga..pia Mzee Mwanakijiji.. Wakusaidie zaidi!!
 
Last edited by a moderator:
asiipende ccm hata kwa kusikia, awe tayari kufa kwa ajili ya cdm, km hana kadi ya cdm akaichukue, nimefanya hivyo na nimefanikiwa!

Swali zuri unaliharibu kwa kuleta mizaha isiyo na maana. Kwa namna ulivyochangia umetuonesha uwezo wako wa kufikiri ulipoishia.

Naona kila kitu unaingiza siasa, tena siasa uchwara. Jifunze kusoma na kutafakari mwenyewe, sio lazima uchangie kila mjadala unaoletwa jamvini.

Kama huna weledi katika jambo husika, tulia pembeni ndugu.
 
Hakikisha unapitia kila siku JF jukwaa la Critical thinker na pia jiunge na CHADEMA. Kwa kufanya hivyo baada ya muda tu utaambukizwa uwezo mkubwa wa kufikiri.
Mimi nilijaribu hivyo na nikafanikiwa.

Mkuu nikipitia majukwaa mengine hayatasaidia kuongeza uwezo wangu wa kufikiri isipokuwa jukwaa la critical thinker tu? Naomba unifafanulie kidogo!
 
Kweli kula vyakula vya asili sana, ila jitahidi sana kusoma, soma magazeti ya kila aina huku ukichambua kichwani ni vipi ulicho kisoma kiana fanana na jammbo fulani halisi au la kufikirika na ni vipi kila unacho kisoma kina weza kumsaidia au kumbomoa mwanadamu....Pia jitahidi sana kuwa na akili huru usiwe mfungwa wa vitu fulani hasa watu au vitu, kuwa mtumwa wa hoja, falsafa, na tafakari mbalimbali za watu wenye upeo mkubwa Kama JK Nyerere kuwa mtumwa wa baadhi ya falsafa zao sio kushika kifimbo au kuiga sauti yake!

Mkuu nashukuru kwa ushauri wako, naomba unipe falsafa moja tu nianze kuufanyia kazi ushauri wako kwa kuitafakali hiyo falsafa iwe kama mwanzo wa utekelezaji wa ushauri ulionipa.
 
Soma vitabu vingi kadiri uwezevyo

Mkuu asante kwa ushauri, lakini nianze na vitabu vipi? Naomba unitajie baadhi yake ambavyo vinalenga maisha yangu ya kila siku kama vile vinavyo zungumzia namna ya kuongeza kipato changu kidogo au vyakula tunavyokula. Nimeambiwa vyakula navyo huboresha uwezo wa kufikiri!
 
Chukua dictionary pamoja na vitabu vingine vya maarifa mbalimbali ( kama physics , biology , philosophy etc) kulingana na eneo unalotaka kuongeza maarifa. Chukua sufuria kubwa ( kama huna azima) chemsha pamoja dakika tatu then weka mbilimbi au ndimu na tokosa pamoja kwa dakika 15. Kunywa maji yake angalau nusu lita kwa siku muda wa miezi mitatu mpaka minne. Ukitaka kuwa genious kunywa mchnaganyiko huo kwa muda wa mwaka mzima......Mimi nilifanya hivyo sasahivi ni Professor Mlimani............

JF bana
 
Pendelea kula dona, pia kula ufuta uliokaangwa kidogo angalau vijiko viwili vikubwa kila siku usiwe mtu wakukaa ovyo bila kufanya chochote, jishughulishe hata shughuli ndogondogo za hapo nyumbani na fanya mazoezi ya viungo kadri uwezavyo huwa yanaupa ubongo afya na uwezu wa kutunza kumbukumbu. soma vitabu, magazeti na majarida mbalimbali kila siku ila uwe unachagua ambayo yanaelimisha jamii sio ya udaku wala ngono. Kuwa na marafiki ambao wanauwezo mkubwa wa kifikra kuliko wewe ambao wanaweza kukushauri mambo mbalimbali na wewe utaweza kujifunza kutoka kwao.

Nashukuru kwa ushauri wako mkuu!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom