Nifanyeje ili niwe mrefu?


James Comey

James Comey

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2017
Messages
3,968
Likes
5,115
Points
280
James Comey

James Comey

JF-Expert Member
Joined May 14, 2017
3,968 5,115 280
Mtu mwenye pesa ni ngumu sana kuonekana mfupi. Mara nyingi anakuwa ktk usafiri wake tofauti na asiwe na kipato anayetembea kwa miguu kila muda watu wanakuona na kusema yule jamaa yuleee...halafu huyu jmaa mfupi huyuu...
Hahaaaa
Pole. Pole sana.

Ila ujue yafuatayo.

Je wazazi wako ni warefu au wafupi?

90% ya kimo chako umekirithi toka kwa wazazi wako.

Kimo ni matokeo ya chembechembe za urithi toka kwa wazazi wako, genetics. Hivyo ni jambo la urithi. Hakuna namna unaweza kua tofauti na wazazi wako.

Namna pekee ya kuongeza kimo chako angalau kwa kiasi kidogo ni kipindi cha ukuaji ambapo kuna kitu kinaitwa growth plates zinakua hazijakomaa, ukila chakula kingi cha madini ya calcium kama maziwa na vitu kama hivyo unaweza kuongezeka kidogo, hata wachina sasa wanahimiza watoto wao kunywa maziwa sana ili wawe warefu kidogo.

Jinsia yako pia ni chanzo cha urefu wako, ukiwa mwanamke una nafasi kubwa sana ya kua mfupi kuliko ukiwa mwanaume. Je wewe ni mwanamke au mwanaume?

Je una magonjwa makubwa kama saratani, na matatizo mengine? Yanachangia kudhoofisha kimo chako

Ukivuka miaka ya ukuaji hakuna namna utafanya kujiongezea kimo maana mifupa ya ukuaji umefika mwisho, haiwezi kutanuka tena.

Jikubali, jiamini, jitahidi uwe na vitu extra, unique ili kucompansate na ufupi wako, mfano kupiga chuma ukawa na kidali cha maana, taaluma flani hivi, ujuzi flani hivi, hela, hivyo vyote vitakuongezea kujiamini. Lakini kama wewe ni mfupi na huna chochote cha ziada, utaona Dunia chungu.
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
kabugira

kabugira

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Messages
871
Likes
239
Points
60
kabugira

kabugira

JF-Expert Member
Joined May 14, 2014
871 239 60
Mi mfupi sana mpaka nanunua mabuti yenye solo ndefu nionekane mrefu nasikia kuna upasuaji unaweza ukafanyiwa ukawa mrefu au vidonge vya kunywa asa naomba msaada kama ni aina gani ya chakula nile ili niwe mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una inch ngapi?

kutoka: 22D Arnold st.
 
James Comey

James Comey

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2017
Messages
3,968
Likes
5,115
Points
280
James Comey

James Comey

JF-Expert Member
Joined May 14, 2017
3,968 5,115 280
Kwa jinsia zote maximum miaka 21. Ingawa mimi niliendelea kukua hadi miaka 24. Ni very few number of people wanaweza kukua baada ya growth age. Mimi mmoja wapo.
Break ni at 25 hii haiathiriwi na chakula wala environment ukifika 25 you are no more ...

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
M

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
8,828
Likes
13,833
Points
280
M

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
8,828 13,833 280
Vipi umenizidi kiasi gani?

Proverb 3:5-6
πŸ˜‚πŸ˜‚ ww utakuwa km hubby ww..arghhh..hubby ht uende uwanjan km amesimama abaonekana aloneπŸ˜‚πŸ˜‚ pia msiban anaonekana..siku nilipotezana naye msiban..nikaangalia mtu mrefu tu nikamuona yuleee..cha
 
The August

The August

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2018
Messages
543
Likes
889
Points
180
The August

The August

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2018
543 889 180
ww utakuwa km hubby ww..arghhh..hubby ht uende uwanjan km amesimama abaonekana alone pia msiban anaonekana..siku nilipotezana naye msiban..nikaangalia mtu mrefu tu nikamuona yuleee..cha
Neema hii ya mwisho wa mwezi kwa ufananisho huu

Proverb 3:5-6
 

Forum statistics

Threads 1,262,317
Members 485,560
Posts 30,120,628