Nifanyeje ili niwe mrefu?


airwing

airwing

Member
Joined
Dec 8, 2017
Messages
85
Likes
46
Points
25
airwing

airwing

Member
Joined Dec 8, 2017
85 46 25
Mi mfupi sana mpaka nanunua mabuti yenye solo ndefu nionekane mrefu nasikia kuna upasuaji unaweza ukafanyiwa ukawa mrefu au vidonge vya kunywa asa naomba msaada kama ni aina gani ya chakula nile ili niwe mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Oa Mwanamke Mrefu, Ili Kuangalia uwezekano wa Kukopy Idea yako kwa Kizazi kijacho ila Siyo sio kwako


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
11,604
Likes
14,273
Points
280
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
11,604 14,273 280
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚huu nao ni mnyanyapao km kunyanyapaa kwingine๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚..kuna miaka nilipata tabu sana..unasifiwa ww mdada mzuri ila MFUPI๐Ÿ˜๐Ÿ˜ nikahamia rasmi kwa high heels...ghafla uzeen nimejikubali ni mwendo flat tu..alafu bwana kumbe sina ufupi ule kbs wa kushangaa..nna kimo kizuri tu..huez nifananisha na walugulu au wakinga ufupi ule ๐Ÿ˜ฃ..ss hv ht sijali kbs..ila nimegundua nikivaa magauni mafupi yakuchanua nadidimia zaidi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ingawa ndo yananipendeza๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚!hiki kimo hiki๐Ÿ˜‘
Mdada mdhuri kumbe na wewe ni team Harts!๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Norshad

Norshad

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Messages
3,774
Likes
7,098
Points
280
Norshad

Norshad

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2013
3,774 7,098 280
Mfupi kwenda juu au mfupi kwenda chini?
 
moto wa maji

moto wa maji

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Messages
3,676
Likes
2,110
Points
280
moto wa maji

moto wa maji

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2016
3,676 2,110 280
Acha ubwege wewe tafuta pesa aka.doo utaonekana kama hasheem thabiti
 
CHIEF WINGIA

CHIEF WINGIA

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2013
Messages
536
Likes
413
Points
80
CHIEF WINGIA

CHIEF WINGIA

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2013
536 413 80
Kuna waganga humu wanajinadi kuwa na dawa za kukuza vibamia na makalio hebu watafute wanaweza kukupa msaada
 
I

Inna morata

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2018
Messages
357
Likes
218
Points
60
I

Inna morata

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2018
357 218 60
Shenzy yaan mimecheka kama jinga
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚alafu nimegundua wanaume warefu wanapenda sana wadada wafupi..ukweni sisi waume zetu wote ni matall km kagame vile ila wake zao mm ndo mrefu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚...

wanajihus kuwa more safe zaid
 
Wordsworth

Wordsworth

Member
Joined
Jan 14, 2019
Messages
48
Likes
122
Points
40
Wordsworth

Wordsworth

Member
Joined Jan 14, 2019
48 122 40
Mi mfupi sana mpaka nanunua mabuti yenye solo ndefu nionekane mrefu nasikia kuna upasuaji unaweza ukafanyiwa ukawa mrefu au vidonge vya kunywa asa naomba msaada kama ni aina gani ya chakula nile ili niwe mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza kabisa nakushauri tu ujikubali, lakini kuna namna ya kuongeza urefu na hii njia ipo very effective. Unafanyiwa upasuaji na kama tuseme urefu walo ulikuwa 5'2, unaongezeka mpaka 6'2.
Wanaanza na kukuvunja mifupa ya mkononi na miguuni. Wakimaliza wanaweka chuma kugawanya mifupa (panabaki wazi). Kwasababu mifupa huwa inatabia ya kujirepair, basi ule uwazi unajiziba na kimo cha mtu kinaongezeka. Hapo baadae wanatoa hivyo vyuma.
Process hii inaweza kuchukua zaidi ya mwaka mpaka upone kabisa, na maumivu yake ni makali mnoo. Kupona kwake ni shughuli sana lakini ukifanikwa matokeo yake makubwa, lakini bado nakushauri tu ujikubali na kimo chako.
 
M

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
8,828
Likes
13,832
Points
280
M

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
8,828 13,832 280
kazi hujaifanya.....bado reward ya redds zipo

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚unadhan nna shida bas na huyu mtoto..ngoja nimwite
Baby Doll njoo mdogo wangu dadako nna kiu cha redds 20 hapa...๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚...kakangu huyu anapenda race zenu...jaman tafadhari mdg wangu usiniangushe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
B

big_in

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Messages
3,596
Likes
114
Points
160
Age
43
B

big_in

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2013
3,596 114 160
Mi mfupi sana mpaka nanunua mabuti yenye solo ndefu nionekane mrefu nasikia kuna upasuaji unaweza ukafanyiwa ukawa mrefu au vidonge vya kunywa asa naomba msaada kama ni aina gani ya chakula nile ili niwe mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Mwenyezi Mungu ameumba kila MTU kwa sababu Maalum tulia Na ufupi wako
 

Forum statistics

Threads 1,262,318
Members 485,561
Posts 30,120,598