Nifanyeje ili niwe mrefu?

H

Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Messages
521
Likes
1,673
Points
180
Age
29
H

Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2018
521 1,673 180
Pole. Pole sana.

Ila ujue yafuatayo.

Je wazazi wako ni warefu au wafupi?

90% ya kimo chako umekirithi toka kwa wazazi wako.

Kimo ni matokeo ya chembechembe za urithi toka kwa wazazi wako, genetics. Hivyo ni jambo la urithi. Hakuna namna unaweza kua tofauti na wazazi wako.

Namna pekee ya kuongeza kimo chako angalau kwa kiasi kidogo ni kipindi cha ukuaji ambapo kuna kitu kinaitwa growth plates zinakua hazijakomaa, ukila chakula kingi cha madini ya calcium kama maziwa na vitu kama hivyo unaweza kuongezeka kidogo, hata wachina sasa wanahimiza watoto wao kunywa maziwa sana ili wawe warefu kidogo.

Jinsia yako pia ni chanzo cha urefu wako, ukiwa mwanamke una nafasi kubwa sana ya kua mfupi kuliko ukiwa mwanaume. Je wewe ni mwanamke au mwanaume?

Je una magonjwa makubwa kama saratani, na matatizo mengine? Yanachangia kudhoofisha kimo chako

Ukivuka miaka ya ukuaji hakuna namna utafanya kujiongezea kimo maana mifupa ya ukuaji umefika mwisho, haiwezi kutanuka tena.

Jikubali, jiamini, jitahidi uwe na vitu extra, unique ili kucompansate na ufupi wako, mfano kupiga chuma/gym ukawa na kifua cha maana, taaluma flani hivi, ujuzi flani hivi, hela, hivyo vyote vitakuongezea kujiamini. Lakini kama wewe ni mfupi na huna chochote cha ziada, utaona Dunia chungu.
 
M

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
8,828
Likes
13,834
Points
280
M

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
8,828 13,834 280
Pole. Pole sana.

Ila ujue yafuatayo.

Je wazazi wako ni warefu au wafupi?

90% ya kimo chako umekirithi toka kwa wazazi wako.

Kimo ni matokeo ya chembechembe za urithi toka kwa wazazi wako, genetics. Hivyo ni jambo la urithi. Hakuna namna unaweza kua tofauti na wazazi wako.

Namna pekee ya kuongeza kimo chako angalau kwa kiasi kidogo ni kipindi cha ukuaji ambapo kuna kitu kinaitwa growth plates zinakua hazijakomaa, ukila chakula kingi cha madini ya calcium kama maziwa na vitu kama hivyo unaweza kuongezeka kidogo, hata wachina sasa wanahimiza watoto wao kunywa maziwa sana ili wawe warefu kidogo.

Jinsia yako pia ni chanzo cha urefu wako, ukiwa mwanamke una nafasi kubwa sana ya kua mfupi kuliko ukiwa mwanaume. Je wewe ni mwanamke au mwanaume?

Je una magonjwa makubwa kama saratani, na matatizo mengine? Yanachangia kudhoofisha kimo chako

Ukivuka miaka ya ukuaji hakuna namna utafanya kujiongezea kimo maana mifupa ya ukuaji umefika mwisho, haiwezi kutanuka tena.

Jikubali, jiamini, jitahidi uwe na vitu extra, unique ili kucompansate na ufupi wako, mfano kupiga chuma ukawa na kidali cha maana, taaluma flani hivi, ujuzi flani hivi, hela, hivyo vyote vitakuongezea kujiamini. Lakini kama wewe ni mfupi na huna chochote cha ziada, utaona Dunia chungu.

hhahahahaha wafupi oyeee
 
mkorea

mkorea

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2016
Messages
1,105
Likes
1,532
Points
280
mkorea

mkorea

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2016
1,105 1,532 280
Mi mfupi sana mpaka nanunua mabuti yenye solo ndefu nionekane mrefu nasikia kuna upasuaji unaweza ukafanyiwa ukawa mrefu au vidonge vya kunywa asa naomba msaada kama ni aina gani ya chakula nile ili niwe mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unalazimisha kuibiwa kinguvu
Mkuu jivunie ufupi wako, hiyo ni sehemu ya uumbaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
8,828
Likes
13,834
Points
280
M

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
8,828 13,834 280
😂😂😂huu nao ni mnyanyapao km kunyanyapaa kwingine😂😂..kuna miaka nilipata tabu sana..unasifiwa ww mdada mzuri ila MFUPI😏😏 nikahamia rasmi kwa high heels...ghafla uzeen nimejikubali ni mwendo flat tu..alafu bwana kumbe sina ufupi ule kbs wa kushangaa..nna kimo kizuri tu..huez nifananisha na walugulu au wakinga ufupi ule 😣..ss hv ht sijali kbs..ila nimegundua nikivaa magauni mafupi yakuchanua nadidimia zaidi😂😂😂 ingawa ndo yananipendeza😂😂!hiki kimo hiki😑
 
Forum statistics

Threads 1,262,319
Members 485,560
Posts 30,120,637