Nifanyeje ili nipate government scholarship kwa ngazi ya Diploma?

Raggy Singo

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
308
291
Wakuu,

Naomba msaada kwa anayejua procedure za kufuata ili kupata Udhamini wa masomo kwa serikali katika diploma ya uhandisi.

Asanteni.
 
Utapata goverment sponsorship kama ulichaguliwa direct kutoka shule wakat wa selection
Kama ni msichana utapata ile GMU ipo DIT sijui kwa vyuo vyengine
ATC kuna kipindi niliona baadh ya course zikiwa na sponsorship lakin sijui kama bado ipo
 
Kama ulijaza chaguo la kwanza kwenye zile selform za form four utapata direct. Mpaka mwaka jana na kurudi nyuma kulikuwa na mfumo wa mature entrance ATC, DIT na MIST ila kwa sasa sina uhakika kama bado zipo. Kwa wasichana ni rahisi, tembelea vyuo husika kuanzia mwezi February utapata maelekezo. Masharti uwe umefaulu Math, physics na moja kati ya chemistry au biology au geograph
 
Ahasante sana mkuu,vipi hiyo mature entrance examination inakuaje mkuu?
 
Unaweza kwenda au kuandika barua wizara ya Elimu,ukatoa sababu zako na kusaidiwa!

Ukishindwa kabisa andika barua kwenda balozi za nchi kama China,Japan na Korea bila shaka utasaidiwa!

Pia kama siyo siasa tu,huenda mwaka huu watu wanaosoma Diploma ambazo zipo kwenye vipaumbele vya taifa wakapata mkopo kutoka loan board!keep your fingers crossed!utafanikiwa tu ndugu.
 
mkuu mature entry inawahusu wale ambao qualifications zao hazijajitosheleza kikamilifu,ipo kama bridging course hivi,na hao ndio ambao mara nyingi huwa wanajilipia ada na mahitaji mengine.

Mfano.ukisoma kwenye website ya DIT hawajaweka kigezo cha kuchaguliwa moja kwa moja kutoka shuleni ndipo ulipiwe bali wamesema uwe na ufaulu katika masomo ya Sayansi kiwango cha credit ambayo ni Maths,Physics/Engineering Science,Chemistry pamoja na English.

Nakushauri usipende kuchukulia kila unachoambiwa kuwa ni ukweli,ni vema utembelee website za vyuo husika ili ujisomee mwenyewe!
 
Kwanza sio kweli kwamba mature entry ni kwa ajili ya wenye chini ya minimum qualification...Mature entry ulikuw ni mtihani maalumu wanaofaulu zaidi wanapewa ufadhili wa serekali na imefutwa teyari
Unayo semea wew ni Indirect entry ambayo huwa aidha
Pre entry/Access course ni course maalumu kwa ajili ya wenye minimum entry qualification na kwa DIT(sijui vyuo vyengine top three ya wanawake kila course huwa wanapewa udhamin wa serekali) waliobaki huwa wanasoma kwa private sponsorship

Direct entry imegawanyika sehemu mbili
Wale wanaochaguliwa direct kutoka shuleni na wanaoapply direct chuoni
Wale waliochaguliwa kutoka chuoni husoma kwa goverment sponsorship na walio apply husoma kwa private sponsorship...zamani ilikuw direct wote wanapewa goverment sponsorship mpaka miaka ya karibuni utaratibu ukabadilika
 
So mkuu hiyo kuapply direct ndo inakuaje? Nielekeze mkuu pengine nikafanikiwa
 
Unaweza kwenda au kuandika barua wizara ya Elimu,ukatoa sababu zako na kusaidiwa!

Ukishindwa kabisa andika barua kwenda balozi za nchi kama China,Japan na Korea bila shaka utasaidiwa!

Pia kama siyo siasa tu,huenda mwaka huu watu wanaosoma Diploma ambazo zipo kwenye vipaumbele vya taifa wakapata mkopo kutoka loan board!keep your fingers crossed!utafanikiwa tu ndugu.
Good courage, be blessed brother
 
So mkuu hiyo kuapply direct ndo inakuaje? Nielekeze mkuu pengine nikafanikiwa
Kwenye mwezi wa 5 huwa wanafungua system ya ku apply
Kama una atleast phy C chem C math C bios C Engl C ni uhakika kupata
 
Fuatilia kuomba chuo cha madini Dodoma nasikia nao wanatoa scholarship Kwa kozi za gesi na mafuta
 
Back
Top Bottom