Nifanyeje ili nifanikiwe kama Bakhresa?

Android or ios

  • ANDROID

  • iOS

Results are only viewable after voting.
Matajiri wetu wakubwa Tanzania kuanzia wa kwanza Hadi wa 12 list yao Ni Kama ifuatavyo:-

1.Mohammed Dewji.
2.Rostam Azizi.
3.Said Salim Bakhresa.
4.Reginald Mengi.
5.Ally Awadh.
6.Shekhar Kanabar.
7.Shubash Patel.
8.Fida Hussein Rashid.
9.Yusuph Manji
10.Salim Turkey
11. Ghalib said Mohamed
12.Yogesh

Kwnye list nzma hapo naona kuna mbongo pure mmoja tu wengine wote wahindi .......
Bado tuna safar ndefu tukomae tu.
Simuoni
[QUOTE"]

Yusuph Manji na makashikashi alizopata bado yupo kwenye top 10? Kweli yuko vizuri jamaa. Halafu nimegundua hawa matajiri wote wameinvest kwenye consumer goods. Duh mbantu mmoja tu hapo, labda na bilionea laizer wa tanzanite ataongezeka hapo
[/QUOTE]
 
  • Thanks
Reactions: _ID

Wapi Ally Mufuruki?.
 
Back
Top Bottom