Habari zenu wana jamiiforums.
Kwanza kabisa ningependa kuwashukuru nyote kwa msaada wenu, mimi nina miaka miwili katika ndoa yangu sikupata mtoto lakini nilijaribu kusoma ushauri wenu tofauti tofauti kuhusu jinsi ya kupata mimba, nashukuru nikafanikiwa kupata ujauzito mwaka huu mwezi wa kwanza, lakini haikua riziki yangu ikatoka mwezi 1.
Lakini kwa sasa nina ujauzito tena wa mwezi 1 naomba ushauri wenu je nifanyeje ili yasitokee tena kama ya mwanzo?
Asanteni