Nifanye nn ili nitatue chili tatizo...

renewable

Member
Dec 21, 2013
5
0
Nina cm ya huawei android jelly bean 4.2.1 ila inakata sana mawimbi unaweza kuongea na mtu ye unamsikia lakin yeye hakupati hebu mwagikeni wadau...
 
Yaani Nina cm ya huawei android jelly bean 4.2.1 sasa nikimpigia mtu yoyote au hata nikipigiwa naongea kwa sekunde hamsini tu kisha nakua namsikia kila kitu anachoongea ila Mimi anakua hanisikii nilishabadil software lakin bado tatizo lipo?
 
Hata mimi tatzo hili linanitokea sana kwa hii huawei y300 na pia mm nikisave majina mtu akipiga inatokea no.tu tusaidieni waatalam.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom