Nifanye nini niweze kumsahau mpenzi wangu tuliyeachana?

Wapendwa naombeni sijui ushauri au sijui niseme faraja mana hata sielewi mimi ni mdada umri 27 mwaka jana December nilifungua mtandao unaitwa Badoo huko ili nipate marafiki wa kuniliwa kama vile kuchat ikibidi kuonana sikuuchulia seriously Sana'a kwakuwa watu wengi niliobahatika kuchat nao wanaukizia ngono tu,na mimi nilikua nimetoka kujifungua kama siku 3 Ila Mungu ni mwema nilibahatika kupata mbaba mstaarabu amenizidi Umri (45) katika kuwasiliana nae nikaona ananifaa nikamwambia ukweli kwamba mimi nina Mtoto anasiku 8 na baby daddy wangu hatuko Sawa,akasema haina shida amenipenda na atanilea na mwanangu ,tulikua tunachat Kwa message badae akaniona video call,nilipokua naishi mbali na yy kidogo mana alinambia mda wa kutoka kazini kuja kuniona itamchukua mda sana kurejea kwake(anaishi na mwanamke aliniambia) basi ikabidi nijivute Hadi Kwa dadangu ambapo yeye ni rahisi na karibu kuniona nilikaa siku 2 nikamjulisha akaja akapafaham akawa anakuja kuniona kila siku,

Kuna siku nikamwambia naomba usiwe unakuja kila siku ili niwe nakumis angalau siku 2 au 3 akasema Sawa,baada ya siku kadhaa akaomba sex nika mwambia asubirie (nna mtoto mdogo na wakwanza nilipojifungua nilishonwa hivo nikawa na hofu na vitu vingi sana ikiwemo kumuharibu mtoto)
Nakumbuka ilikua tar 13 Feb alikuja tukaongea sana akaniambia hatutaweza onana kesho sababu ni valentine ntakua na family nikasema okey tulikaa sana nakumbuka
Asubuhi kesho yake mapema sana around 9;00nikamtumia message kuwa naomba nisubirie mtoto asogee kidogo ndipo tufanye sex kama hatoweza vumilia basi ,

Mwenzangu alinimind sana akaanza niambia mara nna hasira sana,mara naheshim maamuzi yako na akasisitiza tuwe marafiki wa kawaida huku tukisubiria mtoto akue kue ili tukapime tuweze kufanya sex ,Ila pia mbali na kusema hivo tubaki marafiki mwenzangu yeye hapigi wala kupokea simu,hajibu message kama mwanza ambapo alikua akipiga asbh,mchana na jion

Kilichonileta hapa ni kwamba Moto wangu ulimshiba sana yule mwanaume ,nimejikuta kumbe nilimpenda Hadi siwezi tena kumsahau kirahis najarib kumblock lakin nakaa siku 2 namuaunblock nampigia au kumtumia message lakini hola naombeni mniambie nimfanyaje nimsahau labda mana nipo katika hali ngumu upande wangu sana tu ,
Utoto ni rahaaaa!!!!
 
Muombe

Muombe msamaha,mpe mzigo apige taratibu..kisha ujiandae kubeba mimba ya pili and trust me atakuacha huyo
 
Halafu ujue nyie wanawake mnashindwa kuelewa kuwa HAMNA KITU KINGINE CHA KU-OFFER KWENYE MAHUSIANO TOFAUTI NA SEX AMBAYO NA YENYEWE MPAKA TUWABEMBELEZE..acha jamaa alee familia yake ambako anapata vyote
 
Wapendwa naombeni sijui ushauri au sijui niseme faraja mana hata sielewi mimi ni mdada umri 27 mwaka jana December nilifungua mtandao unaitwa Badoo huko ili nipate marafiki wa kuniliwa kama vile kuchat ikibidi kuonana sikuuchulia seriously Sana'a kwakuwa watu wengi niliobahatika kuchat nao wanaukizia ngono tu,na mimi nilikua nimetoka kujifungua kama siku 3 Ila Mungu ni mwema nilibahatika kupata mbaba mstaarabu amenizidi Umri (45) katika kuwasiliana nae nikaona ananifaa nikamwambia ukweli kwamba mimi nina Mtoto anasiku 8 na baby daddy wangu hatuko Sawa,akasema haina shida amenipenda na atanilea na mwanangu ,tulikua tunachat Kwa message badae akaniona video call,nilipokua naishi mbali na yy kidogo mana alinambia mda wa kutoka kazini kuja kuniona itamchukua mda sana kurejea kwake(anaishi na mwanamke aliniambia) basi ikabidi nijivute Hadi Kwa dadangu ambapo yeye ni rahisi na karibu kuniona nilikaa siku 2 nikamjulisha akaja akapafaham akawa anakuja kuniona kila siku,

Kuna siku nikamwambia naomba usiwe unakuja kila siku ili niwe nakumis angalau siku 2 au 3 akasema Sawa,baada ya siku kadhaa akaomba sex nika mwambia asubirie (nna mtoto mdogo na wakwanza nilipojifungua nilishonwa hivo nikawa na hofu na vitu vingi sana ikiwemo kumuharibu mtoto)
Nakumbuka ilikua tar 13 Feb alikuja tukaongea sana akaniambia hatutaweza onana kesho sababu ni valentine ntakua na family nikasema okey tulikaa sana nakumbuka
Asubuhi kesho yake mapema sana around 9;00nikamtumia message kuwa naomba nisubirie mtoto asogee kidogo ndipo tufanye sex kama hatoweza vumilia basi ,

Mwenzangu alinimind sana akaanza niambia mara nna hasira sana,mara naheshim maamuzi yako na akasisitiza tuwe marafiki wa kawaida huku tukisubiria mtoto akue kue ili tukapime tuweze kufanya sex ,Ila pia mbali na kusema hivo tubaki marafiki mwenzangu yeye hapigi wala kupokea simu,hajibu message kama mwanza ambapo alikua akipiga asbh,mchana na jion

Kilichonileta hapa ni kwamba Moto wangu ulimshiba sana yule mwanaume ,nimejikuta kumbe nilimpenda Hadi siwezi tena kumsahau kirahis najarib kumblock lakin nakaa siku 2 namuaunblock nampigia au kumtumia message lakini hola naombeni mniambie nimfanyaje nimsahau labda mana nipo katika hali ngumu upande wangu sana tu ,
Corona, huenda badala ya kuvaa barakoa, alivaa limao usoni
 
Napata ukakasi na uwezo wa kufikiri wa huyu mleta mada.yani ajifungue mtoto na nyuzi juu halafu aanze kutafuta wanaume uko badoo sijui,,,ni wa ajabu sana aiseh
Chakori unapotea sana nisipo kuona mda wa siku 1 tu naumia sana sijui kwa nini aise.Nakutakia usiku mwema mungu akuepushe na mabaya yote.
 
Sassy gyal, mwanaume mtu mzima kabsaa nije kwako, Mara moja ya pili, unadhani nia yangu ni kuja kukushangaa wewe na mwanao? Nia ya kuja kwako ni mtanange, muelewe mwanaume vizuri hutapata shida! Umefanya uamuzi mapema Sana wa kumtafuta mwanaume wakati bado u mzazi. Ungevumilia Kama miezi sita halafu ungeanza harakati. Lkn umemtesa babu was watu buree!
 
Wapendwa naombeni sijui ushauri au sijui niseme faraja mana hata sielewi mimi ni mdada umri 27 mwaka jana December nilifungua mtandao unaitwa Badoo huko ili nipate marafiki wa kuniliwa kama vile kuchat ikibidi kuonana sikuuchulia seriously Sana'a kwakuwa watu wengi niliobahatika kuchat nao wanaukizia ngono tu,na mimi nilikua nimetoka kujifungua kama siku 3 Ila Mungu ni mwema nilibahatika kupata mbaba mstaarabu amenizidi Umri (45) katika kuwasiliana nae nikaona ananifaa nikamwambia ukweli kwamba mimi nina Mtoto anasiku 8 na baby daddy wangu hatuko Sawa,akasema haina shida amenipenda na atanilea na mwanangu ,tulikua tunachat Kwa message badae akaniona video call,nilipokua naishi mbali na yy kidogo mana alinambia mda wa kutoka kazini kuja kuniona itamchukua mda sana kurejea kwake(anaishi na mwanamke aliniambia) basi ikabidi nijivute Hadi Kwa dadangu ambapo yeye ni rahisi na karibu kuniona nilikaa siku 2 nikamjulisha akaja akapafaham akawa anakuja kuniona kila siku,

Kuna siku nikamwambia naomba usiwe unakuja kila siku ili niwe nakumis angalau siku 2 au 3 akasema Sawa,baada ya siku kadhaa akaomba sex nika mwambia asubirie (nna mtoto mdogo na wakwanza nilipojifungua nilishonwa hivo nikawa na hofu na vitu vingi sana ikiwemo kumuharibu mtoto)
Nakumbuka ilikua tar 13 Feb alikuja tukaongea sana akaniambia hatutaweza onana kesho sababu ni valentine ntakua na family nikasema okey tulikaa sana nakumbuka
Asubuhi kesho yake mapema sana around 9;00nikamtumia message kuwa naomba nisubirie mtoto asogee kidogo ndipo tufanye sex kama hatoweza vumilia basi ,

Mwenzangu alinimind sana akaanza niambia mara nna hasira sana,mara naheshim maamuzi yako na akasisitiza tuwe marafiki wa kawaida huku tukisubiria mtoto akue kue ili tukapime tuweze kufanya sex ,Ila pia mbali na kusema hivo tubaki marafiki mwenzangu yeye hapigi wala kupokea simu,hajibu message kama mwanza ambapo alikua akipiga asbh,mchana na jion

Kilichonileta hapa ni kwamba Moto wangu ulimshiba sana yule mwanaume ,nimejikuta kumbe nilimpenda Hadi siwezi tena kumsahau kirahis najarib kumblock lakin nakaa siku 2 namuaunblock nampigia au kumtumia message lakini hola naombeni mniambie nimfanyaje nimsahau labda mana nipo katika hali ngumu upande wangu sana tu ,

Ili kumsahau huyo mzee points ni zile zile

1.Mpende na mtangulize zaidi mtoto wako kwa kila jambo
2.Anza kujiwekea akilini kwamba huyo mzee hakuwa wako tangu mwanzo(ambacho ni kweli hakuwa wako mana ana family yake)
3.Jiwekee uthamani ndani yako,jijali,jipende
4.Kuwa positive katika maamuzi ya kuamua kumove on
5.Sali sana
 
Sassy gyal, mwanaume mtu mzima kabsaa nije kwako, Mara moja ya pili, unadhani nia yangu ni kuja kukushangaa wewe na mwanao? Nia ya kuja kwako ni mtanange, muelewe mwanaume vizuri hutapata shida! Umefanya uamuzi mapema Sana wa kumtafuta mwanaume wakati bado u mzazi. Ungevumilia Kama miezi sita halafu ungeanza harakati. Lkn umemtesa babu was watu buree!
😅😅
 
Ili kumsahau huyo mzee points ni zile zile

1.Mpende na mtangulize zaidi mtoto wako kwa kila jambo
2.Anza kujiwekea akilini kwamba huyo mzee hakuwa wako tangu mwanzo(ambacho ni kweli hakuwa wako mana ana family yake)
3.Jiwekee uthamani ndani yako,jijali,jipende
4.Kuwa positive katika maamuzi ya kuamua kumove on
5.Sali sana
Nafikri mzee alikuwa analea pia,so amekosa zile pesa na cares za kwenye simu ndo kinachomtesa
 
Aisee hujawajua vizuri wanaume wewe.

Huyo jamaa tena wa Badoo ni fisi anawinda hadi mizoga nia yake kuu ni akuchakate tu na punde baada ya kukuchakata atakupiga block moja matata hadi tumbo la uzazi litakucheza.

Halafu Mama wawili ukiendelea hivyo soon utajikuta unaongeza mtoto wa 3 na baba hata wa Tinder huko au wa Twitter.
 
Ili kumsahau huyo mzee points ni zile zile

1.Mpende na mtangulize zaidi mtoto wako kwa kila jambo
2.Anza kujiwekea akilini kwamba huyo mzee hakuwa wako tangu mwanzo(ambacho ni kweli hakuwa wako mana ana family yake)
3.Jiwekee uthamani ndani yako,jijali,jipende
4.Kuwa positive katika maamuzi ya kuamua kumove on
5.Sali sana

Utaongea mpaka koo litakauka na huyu bado atabaki kutafuta a man
 
Back
Top Bottom