Nifanye nini niweze kumsahau mpenzi wangu tuliyeachana?

sassy girl

Senior Member
Sep 19, 2020
112
172
Wapendwa naombeni sijui ushauri au sijui niseme faraja mana hata sielewi mimi ni mdada umri 27 mwaka jana December nilifungua mtandao unaitwa Badoo huko ili nipate marafiki wa kuniliwa kama vile kuchat ikibidi kuonana sikuuchulia seriously Sana'a kwakuwa watu wengi niliobahatika kuchat nao wanaukizia ngono tu,na mimi nilikua nimetoka kujifungua kama siku 3 Ila Mungu ni mwema nilibahatika kupata mbaba mstaarabu amenizidi Umri (45) katika kuwasiliana nae nikaona ananifaa nikamwambia ukweli kwamba mimi nina Mtoto anasiku 8 na baby daddy wangu hatuko sawa

Akasema haina shida amenipenda na atanilea na mwanangu ,tulikua tunachat Kwa message badae akaniona video call,nilipokua naishi mbali na yy kidogo mana alinambia mda wa kutoka kazini kuja kuniona itamchukua mda sana kurejea kwake(anaishi na mwanamke aliniambia) basi ikabidi nijivute Hadi Kwa dadangu ambapo yeye ni rahisi na karibu kuniona nilikaa siku 2 nikamjulisha akaja akapafaham akawa anakuja kuniona kila siku,

Kuna siku nikamwambia naomba usiwe unakuja kila siku ili niwe nakumis angalau siku 2 au 3 akasema Sawa,baada ya siku kadhaa akaomba sex nika mwambia asubirie (nna mtoto mdogo na wakwanza nilipojifungua nilishonwa hivo nikawa na hofu na vitu vingi sana ikiwemo kumuharibu mtoto).

Nakumbuka ilikua tar 13 Feb alikuja tukaongea sana akaniambia hatutaweza onana kesho sababu ni valentine ntakua na family nikasema okey tulikaa sana nakumbuka.

Asubuhi kesho yake mapema sana around 9;00nikamtumia message kuwa naomba nisubirie mtoto asogee kidogo ndipo tufanye sex kama hatoweza vumilia basi mwenzangu alinimind sana akaanza niambia mara nna hasira sana,mara naheshim maamuzi yako na akasisitiza tuwe marafiki wa kawaida huku tukisubiria mtoto akue kue ili tukapime tuweze kufanya sex ,Ila pia mbali na kusema hivo tubaki marafiki mwenzangu yeye hapigi wala kupokea simu,hajibu message kama mwanza ambapo alikua akipiga asbh,mchana na jion

Kilichonileta hapa ni kwamba Moto wangu ulimshiba sana yule mwanaume ,nimejikuta kumbe nilimpenda Hadi siwezi tena kumsahau kirahis najarib kumblock lakin nakaa siku 2 namuaunblock nampigia au kumtumia message lakini hola naombeni mniambie nimfanyaje nimsahau labda mana nipo katika hali ngumu upande wangu sana tu ,
 
We nae ulikuwa na kiranga sana..yani umejifungua hata mwezi huna umeanza kutafuta wanaume!!!kha!au huyo mtoto ulimfyatua kama tofali la udongo mwenzetuuu..mwandiko wako unaonesha wewe ndie mwenye matatizo umeyaharibu mahusiano na baba watoto wako🤔
 
Sasa kama unamblock na kumuunblock siku mbili baadae bila hata kuchombezwa wewe unasaidiwaje? Mnatupotezea muda tu. Au unavizia mbaba mwingine huku?

Kama upo serious fanya haya

1. Futa namba yake
2. Jiondoe huko Badoo wanakojiuza wenzio
 
Sasa kama unamblock na kumuunblock siku mbili baadae bila hata kuchombezwa wewe unasaidiwaje? Mnatupotezea muda tu. Au unavizia mbaba mwingine huku?

Kama upo serious fanya haya

1. Futa namba yake
2. Jiondoe huko Badoo wanakojiuza wenzio
Napata ukakasi na uwezo wa kufikiri wa huyu mleta mada.yani ajifungue mtoto na nyuzi juu halafu aanze kutafuta wanaume uko badoo sijui,,,ni wa ajabu sana aiseh
 
Sasa kama unamblock na kumuunblock siku mbili baadae bila hata kuchombezwa wewe unasaidiwaje? Mnatupotezea muda tu. Au unavizia mbaba mwingine huku?

Kama upo serious fanya haya

1. Futa namba yake
2. Jiondoe huko Badoo wanakojiuza wenzio
Acha hizo bwana mbona wanawake badoo wapo wastaarabu mie kule mbona nimewapata single maza watatu wote waetulia kabisa
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom