Nifanye nini nisiote ndevu?

sema hivii, wakuu mungu amenipa ndevu mbaya,kwanza zinaota apa, apa zinaacha yaani ukiniangalia kwa mbali kama vile nimeungua! yaani kwa ufupi sema una pattern mbaya ya ndevu + zina afya mbovu zinakuaibisha na unataka kuzitoa! hakuna dawa 🤣 🤣 🤣 ,nyoa kila siku
 
Wataalam wa hizi shughuli...
FB_IMG_15798377808268821.jpg
 
Tumia magic mara kwa mara,ifanye magic part ya maisha yako

kila baada ya masaa 48 apply kisha jisafishe,zenyewe utaziona zinakuogopa

changamoto ni kwamba uwe na pesa ya kuhudumia ngozi itakayokomaa kwa magic

magic ikikukomaza Lotion pekee itayokubali hiyo ngozi ya kidevu+mashavu ni ya kuanzia 500,000

kwahiyo jiandae kuhudumia turubai la ngozi,maana haitakua ngozi bali turubai,kama n mtoto tutasema hili toto ni toto sugu

naiongelea ngozi itayobaki bila nywele kwasababu umeztoa ndevu zoteee na Magic,unachokitafuta utakipata buraza,jipge selfie mara ya mwisho mwisho kabla hujaanza fata ushauri wangu.
 
Habari wakuu

Mimi binafsi swala LA ndevu naliona kama kero ,nilikuwa nauliza ni namna gani mtu anaweza kufanya ili aisewe na ndevu .

Kuna muda ndevu zinanipotezea muda ,zinaharibu mwonekano kabisa ,nataman kidevu kiwe cheupe ,ndevu ni kero tupu ...


Mwenye namna yeyote wakuu msaaada
Jimwagie tindilali uso mzima.
 
Habari wakuu

Mimi binafsi swala LA ndevu naliona kama kero ,nilikuwa nauliza ni namna gani mtu anaweza kufanya ili aisewe na ndevu .

Kuna muda ndevu zinanipotezea muda ,zinaharibu mwonekano kabisa ,nataman kidevu kiwe cheupe ,ndevu ni kero tupu ...


Mwenye namna yeyote wakuu msaaada


Hiyo ni sawa kwa msichana aseme hataki kuota matiti.
 
Back
Top Bottom