Wisest man
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 993
- 332
Habari wakuu! PC yangu inanisumbua nikichomeka modem na mouse havisomi hadi nichomoe kimojawapo, unakuta kuna ujumbe upande wa kulia kwa chini unasema.. USB can perform faster... ila cha kushangaza haisomi, tatizo ni nini na ni vipi naweza kulifumbua tatizo hilo?