Kutokana na matatizo mbali mbali niliyopitia mwaka wa kwanza chuo semester ya pili yamevuruga akili yangu imekuwa sio ile yenye nguvu kila kitu kwangu naona uvivu tu hadi kushika daftar Nipo mwaka wa pili semester 2 uvivu umenitawala jamani naomba counseling yoyote kama Upo tayari kunisaidia naomba uni pm