Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 4,975
- 9,717
tafta self help books ztakusadia sana. ukisoma naku practice vta boost Confidence , self esteem, kuitako fear na kudiscover your potentialHabari zenu wana JF
Nimekuwa na tatizo la kushindwa kujieleza mbele za watu hasa watu ambao sijawazoea pia inaniwia vigumu kuongea na mtu ambae sijamuzoea.
Hili tatizo ninalo toka nijitambue pia nashindwa kujiamini sehemu muhimu kama kwenye usaili kitu ambacho kinanifanya nakosa nafasi za kazi kwa kutojiamini na kutojieleza vyema japokuwa ninauelewa na kazi husika.
Hii hali imekuwa ikinitesa sana kiasi kwamba kuna muda nikifikiria ninavojieleza mbele za watu mi mwenyewe napata aibu
Tafadhali naombeni msaada kama kuna mtu mwenye uelewa na hili tatizo linalo nikabili.
Natanguliza shukrani zangu
Mwenyew Nilikua nashida ila now namshukur am much improving. previous nilikua naongea atasielew nmeongea nn can u imagine how bad it was.
Leaders read